Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMA HAMUELEWANI JUU YA MSIMAMIZI MIRATHI INARUHUSIWA NYOTE KUOMBA KUSIMAMIA MIRATHI

Na  Bashir  Yakub.
Mara  kadhaa kwenye  familia  mbalimbali   kumekuwa hakuna  maelewano  juu  ya  nani  asimamie  mirathi. Unakuta  wapo  wanaomkubali  fulani  asimamie  na  wapo  wanomkataa  wakimtaka   fulani  mwingine  ndiye  asimamie.  Hii   huwa  na  athari  kubwa sana  kwa  warithi  hasa  watoto  kama  wanasoma  ambao  kimsingi  hutakiwa kutumia mali  zile katika  mahitaji  ya  msingi  kama  ada  na  mahitaji  mengine muhimu ya  kiustawi. 
Tumeshashuhudia  mara  nyingi  watoto  wakiacha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kumng’oa msimamizi wa mirathi

Uwanja wa Kambole leo unakupa fursa ya kusoma na kuelewa juu ya sheria za mirathi hasa kwenye kipengele cha kumpinga na kumuondoa msimamizi wa mirathi. Hata hivyo, unapaswa kufahamu kuwea kiuzoefu wasimamizi wengi wa mirathi ni wakorofi. Kwanza wakishachaguliwa wanaanza kutumia mali za marehemu kwa faida yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sababu za kumuondoa msimamizi wa mirathi — 2

KWA wasomaji wapya,  wiki iliyopita nilizungumzia usimamizi wa mirathi  pamoja na wanaonufaika na mirathi. Sheria ya usimamizi wa mirathi sura ya 352 ya sheria za Tanzania, ndiyo nitakayoirejea katika kuzungumzia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sababu za kumuondoa msimamizi wa mirathi

LEO tutaangalia wajibu wa wasimamizi wa mirathi. Nitazungumzia juu ya usimamizi wa mirathi  pamoja na mambo muhimu  juu ya wanaonufaika na mirathi. Katika Mahakama za Mwanzo pamoja na  zile mahakama ...

 

10 years ago

Michuzi

JE HAURIDHISHWI NA MSIMAMIZI WENU WA MIRATHI, HII NI NJIA YA KUMUONDOA.

Na Bashir YakubWapo  watu ambao  baada  ya  kupata  cheo au  nafasi  ya  kuwa wasimamizi wa mirathi  hugeuka  waungu.  Huwa hawaambiwi  wala  hawasikii  la  mtu. Huwezi kuamini  kuwa  kuna baadhi ya wasimamizi wa  mirathi  wamekataa  kugawa  mali  za marehemu  sasa ni zaidi ya miaka   kumi. Na si kwamba wamefanya  hivyo  kwa maslahi mapana  ya familia, hapana. Wamefanya  hivyo kwa ukorofi  lakini kubwa zaidi  wanafanya  hivyo  ili waendelee  kunufaika na  mali za marehemu  peke  yao. Mambo...

 

10 years ago

GPL

MKE WA TYSON ASHINDA MIRATHI

Mke wa muandaaji mahiri wa filamu George Tyson, Beatrice Shayo. Stori: Mayasa Mariwata na Hamida Hassan
MKE wa muandaaji mahiri wa filamu George Tyson, Beatrice Shayo amefanikiwa kushinda kesi na kuwa msimamizi wa mirathi baada ya mtafaruku mkubwa uliotokea wa kugombea mali na mwanadada aliyekuwa akiishi na msanii huyo kipindi cha mwisho cha uhai wake, Lucy Sepetu. Akizungumzia ishu hiyo Beatrice alisema anashukuru Mungu...

 

11 years ago

GPL

MGOGORO MZITO MIRATHI YA KULOLA

Stori: Waandishi Wetu
HALI ni tete! Familia ya aliyekuwa muasisi wa imani ya kilokole nchini na Askofu wa Kanisa la Evangelist Assembles of God Tanzania (EAGT), marehemu Dk. Moses Samuel Kulola (83), inadaiwa kuingia kwenye mgogoro mzito wa usimamizi wa mirathi ya mali alizoziacha kiongozi huyo. Marehemu Dk. Moses Samuel Kulola. CHANZO?
Ilidaiwa kuwa gogoro hilo limekuja baada ya mtu mmoja kuibuka na kudai yeye ndiye…...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Watanzania hawana uelewa wa mirathi’

Malalamiko na maswali kuhusu mirathi na talaka jana yalitawala katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria, yaliyohitimishwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pingamizi katika maombi ya mirathi — 2

WIKI iliyopia nilisema kwamba ni muhimu kutoa tangazo la mirathi katika gazeti la serikali (Ndani ya kipindi cha siku 90 au pungufu), au taarifa ya kawaida (ndani ya kipindicha siku...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pingamizi katika maombi ya mirathi

KATIKA makala zangu hapo nyuma, niliwahi kuelezea umuhimu wa kutoa tangazo la mirathi katika gazeti la serikali (Ndani ya kipindi cha siku 90 au pungufu), au taarifa ya kawaida (ndani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani