Jinsi ya kumng’oa msimamizi wa mirathi
Uwanja wa Kambole leo unakupa fursa ya kusoma na kuelewa juu ya sheria za mirathi hasa kwenye kipengele cha kumpinga na kumuondoa msimamizi wa mirathi. Hata hivyo, unapaswa kufahamu kuwea kiuzoefu wasimamizi wengi wa mirathi ni wakorofi. Kwanza wakishachaguliwa wanaanza kutumia mali za marehemu kwa faida yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MmSI2oTxaRo/VZYRkLDM61I/AAAAAAAHmik/2dw6vu67Vpc/s72-c/law_5.jpg)
KAMA HAMUELEWANI JUU YA MSIMAMIZI MIRATHI INARUHUSIWA NYOTE KUOMBA KUSIMAMIA MIRATHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-MmSI2oTxaRo/VZYRkLDM61I/AAAAAAAHmik/2dw6vu67Vpc/s320/law_5.jpg)
Mara kadhaa kwenye familia mbalimbali kumekuwa hakuna maelewano juu ya nani asimamie mirathi. Unakuta wapo wanaomkubali fulani asimamie na wapo wanomkataa wakimtaka fulani mwingine ndiye asimamie. Hii huwa na athari kubwa sana kwa warithi hasa watoto kama wanasoma ambao kimsingi hutakiwa kutumia mali zile katika mahitaji ya msingi kama ada na mahitaji mengine muhimu ya kiustawi.
Tumeshashuhudia mara nyingi watoto wakiacha...
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Sababu za kumuondoa msimamizi wa mirathi — 2
KWA wasomaji wapya, wiki iliyopita nilizungumzia usimamizi wa mirathi pamoja na wanaonufaika na mirathi. Sheria ya usimamizi wa mirathi sura ya 352 ya sheria za Tanzania, ndiyo nitakayoirejea katika kuzungumzia...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Sababu za kumuondoa msimamizi wa mirathi
LEO tutaangalia wajibu wa wasimamizi wa mirathi. Nitazungumzia juu ya usimamizi wa mirathi pamoja na mambo muhimu juu ya wanaonufaika na mirathi. Katika Mahakama za Mwanzo pamoja na zile mahakama ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hPEVXD2uHSU/VNpZx68vsMI/AAAAAAAHC9M/Aq9a_nIJQBc/s72-c/images.jpg)
JE HAURIDHISHWI NA MSIMAMIZI WENU WA MIRATHI, HII NI NJIA YA KUMUONDOA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-hPEVXD2uHSU/VNpZx68vsMI/AAAAAAAHC9M/Aq9a_nIJQBc/s1600/images.jpg)
10 years ago
Michuzi19 Jun
10 years ago
Habarileo10 Jul
Walimu sasa wapata msimamizi mahiri
BUNGE jana lilipitisha Muswada wa Sheria ya Tume ya Walimu, ambayo pamoja na mambo mengine itakuwa na kazi ya kusimamia utumishi wa walimu.
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Mbunge amkaba msimamizi kudai hati yake
10 years ago
Dewji Blog26 Dec
Chadema Singida wapanga kumburuza mahakamani msimamizi wa uchaguzi
Mjumbe wa kamati ya utendaji CHADEMA manispaa ya Singida, Vicent Mughwai (katikati) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kusudio la chama hicho kumfungulia shitaka msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa manispaa ya Singida, kwa tuhuma ya kukiuka kanuni za uchaguzi huo. Vicent ndugu yake na mbunge wa jimbo la Singida mashariki na mnadhimu mkuu wa sheria CHADEMA, Tundu Lissu, ametangaza rasmi kumng’oa mbunge wa CCM jimbo la Singida mjini Mohammed Gullam Dewji, kwenye uchaguzi...