Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema Singida wapanga kumburuza mahakamani msimamizi wa uchaguzi

DSC02992

Mjumbe wa kamati ya utendaji CHADEMA manispaa ya Singida, Vicent Mughwai (katikati) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kusudio la chama hicho kumfungulia shitaka msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa manispaa ya Singida, kwa tuhuma ya kukiuka kanuni za uchaguzi huo. Vicent ndugu yake na mbunge wa jimbo la Singida mashariki na mnadhimu mkuu wa sheria CHADEMA, Tundu Lissu, ametangaza rasmi kumng’oa mbunge wa CCM jimbo la Singida mjini Mohammed Gullam Dewji, kwenye uchaguzi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kaimu Msimamizi wa uchaguzi Singida mjini atupilia mbali pingamizi la CHADEMA dhidi ya mgombea wa CCM

DSC01221

Kaimu msimamizi wa uchaguzi jimbo la Singida mjini, Gerald Muhabuki Zephyrin,akizungumza na Modewjiblog juu ya uchaguzi ubunge jimbo la Singida mjini.(Picha na Gasper Andrew).

Na Nathaniel Limu, Singida

PINGAMIZI lililowekwa na Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA),jimbo la Singida mjini, dhidi ya mgombea wa CCM Mussa Ramadhan Sima kuwa fomu zake haziko sawa kwa mujibu wa kanuni,taratibu na sheria za uchaguzi,limetupiliwa mbali kwa madai kwamba halina mashiko.

Akizungumza na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, ampongeza msimamizi wa uchaguzi, Dk.Kone

IMG_1615

Mshindi wa kwanza wa nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, Aysharose Ndogholi Mattembe, akiwashukuru wapiga kura 318 (hawapo kwenye picha). Aysharose  ambaye ni Mkurugenzi wa shule ya British Zanzibar ya Kisauni Zanzibar, alipata ushindi huo mnono baada ya kuwabwaga wapinzani wake 13 kwenye uchaguzi uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa katoliki mjini hapa. IMG_1574 Mshindi wa kwanza wa nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, Aysharose Ndogholi Mattembe (kulia)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe kumburuza Zitto mahakamani

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), anakusudia kumburuza mahakamani, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa madai ya kumkashifu na kumchafulia jina. Kwa mujibu wa taarifa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfugaji atishia kumburuza mahakamani diwani

MFUGAJI na mkulima wa Kijiji cha Ufana, Kata ya Mgungira, Tarafa ya Sepuka, wilayani hapa mkoani Singida, Sawaka Kujelwa, ametishia kuwafungulia mashtaka mahakamani viongozi wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAKIJIJI KILOMBERO KUMBURUZA MAHAKAMANI MWEKEZAJI‏

Mwangalizi wa LHRC, Wilaya ya Kilombero, Godfrey Lwena (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu mgogoro wa ardhi dhidi mwekezaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya Union ambaye anadaiwa kuchukuwa ardhi yao ambapo kesho wanakusudia kufungua kesi Mahakama ya Ardhi dhidi yake kwa msaada wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Kulia ni mkazi wa kijiji hicho, Jimmy Mwasenga.Mkazi wa Kijiji cha Chiwachiwa kilichopo Tarafa Mgeta Kata ya Mbingu Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro,...

 

10 years ago

GPL

WANAKIJIJI KILOMBERO KUMBURUZA MAHAKAMANI MWEKEZAJI‏

Mwangalizi wa LHRC, Wilaya ya Kilombero, Godfrey Lwena (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu mgogoro wa ardhi dhidi mwekezaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya Union ambaye anadaiwa kuchukuwa ardhi yao ambapo kesho wanakusudia kufungua kesi Mahakama ya Ardhi dhidi yake kwa msaada wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Kulia ni mkazi wa kijiji hicho, Jimmy Mwasenga.… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Msimamizi wa Uchaguzi kata ya Pagwi afariki kwa ajali

Msimamizi wa Uchaguzi kata ya Pagwi wilayani Kilindi Rajabu Nkungua amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akitumia kusafirisha kura kutoka ngazi kwenda halmashauri kupinduka.

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema wapanga kumshtaki Dk Magufuli matumizi ya M4C

Chama cha Chadema, kimesema kinakusudia kumfungulia mashtaka Dk John Magufuli kwa madai ya kutumia nembo yake ya ‘M4C Movement For Change’ ikiwa na maana “Vuguvugu la Mabadiliko” na kuigeuza kuwa ‘Magufuli for Change’ kwa muundo uleule.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani