Chadema wapanga kumshtaki Dk Magufuli matumizi ya M4C
Chama cha Chadema, kimesema kinakusudia kumfungulia mashtaka Dk John Magufuli kwa madai ya kutumia nembo yake ya ‘M4C Movement For Change’ ikiwa na maana “Vuguvugu la Mabadiliko†na kuigeuza kuwa ‘Magufuli for Change’ kwa muundo uleule.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar19 Sep
CHADEMA wapanga kumshtaki Dk Magufuli kwa matumizi ya ‘M4C’
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Kwa ufupi: “Wadai amechukua nembo ya M4C na kuifanya yake” By Herieth Makwetta na Julius Mathias Saturday, September 19, 2015 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kinakusudia kumfungulia mashtaka, Dk […]
The post CHADEMA wapanga kumshtaki Dk Magufuli kwa matumizi ya ‘M4C’ appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Magufuli asema M4C ni ‘Magufuli for Change’
9 years ago
Habarileo17 Sep
‘M4C inamaanisha Magufuli For Change’
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amepangua kauli mbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) maarufu kama M4C kwa kusema herufi hizo zimesimama kwa niaba ya Magufuli For Change.
10 years ago
Dewji Blog26 Dec
Chadema Singida wapanga kumburuza mahakamani msimamizi wa uchaguzi
Mjumbe wa kamati ya utendaji CHADEMA manispaa ya Singida, Vicent Mughwai (katikati) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kusudio la chama hicho kumfungulia shitaka msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa manispaa ya Singida, kwa tuhuma ya kukiuka kanuni za uchaguzi huo. Vicent ndugu yake na mbunge wa jimbo la Singida mashariki na mnadhimu mkuu wa sheria CHADEMA, Tundu Lissu, ametangaza rasmi kumng’oa mbunge wa CCM jimbo la Singida mjini Mohammed Gullam Dewji, kwenye uchaguzi...
11 years ago
Michuzi03 Feb
Mkutano wa M4C Operesheni Pamoja Daima,Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Atua Kibaha na Chopa Nakuhutubia Mamia ya Wananchi wa Mji wa Kibaha
![](https://2.bp.blogspot.com/-UgXJcsGVZ1Q/Uu-5Cpc7jKI/AAAAAAACoOo/LKT-bkV7Oro/s1600/Mbowe+kuhutubia+Kibaha.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-MnyOd2laooo/Uu-5CPTSPdI/AAAAAAACoOg/bII30qq6ma0/s1600/Kukabidhi+kadi+2.jpg)
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Yanga kumshtaki Okwi
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Serikali yasitisha matumizi picha ya Dk Magufuli
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Faida na hasara za Serikali ya Magufuli kubana matumizi
9 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-OvLL244lsqI/Vjz-fcJTvsI/AAAAAAAAolE/eri3fbivJCo/s1600/1.jpg)
SERIKALI YASITISHA MATUMIZI YA PICHA RASMI YA RAIS MAGUFULI