WANAKIJIJI KILOMBERO KUMBURUZA MAHAKAMANI MWEKEZAJI
Mwangalizi wa LHRC, Wilaya ya Kilombero, Godfrey Lwena (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu mgogoro wa ardhi dhidi mwekezaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya Union ambaye anadaiwa kuchukuwa ardhi yao ambapo kesho wanakusudia kufungua kesi Mahakama ya Ardhi dhidi yake kwa msaada wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Kulia ni mkazi wa kijiji hicho, Jimmy Mwasenga.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWANAKIJIJI KILOMBERO KUMBURUZA MAHAKAMANI MWEKEZAJIâ€
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Mbowe kumburuza Zitto mahakamani
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), anakusudia kumburuza mahakamani, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa madai ya kumkashifu na kumchafulia jina. Kwa mujibu wa taarifa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Mfugaji atishia kumburuza mahakamani diwani
MFUGAJI na mkulima wa Kijiji cha Ufana, Kata ya Mgungira, Tarafa ya Sepuka, wilayani hapa mkoani Singida, Sawaka Kujelwa, ametishia kuwafungulia mashtaka mahakamani viongozi wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
10 years ago
Dewji Blog26 Dec
Chadema Singida wapanga kumburuza mahakamani msimamizi wa uchaguzi
Mjumbe wa kamati ya utendaji CHADEMA manispaa ya Singida, Vicent Mughwai (katikati) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kusudio la chama hicho kumfungulia shitaka msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa manispaa ya Singida, kwa tuhuma ya kukiuka kanuni za uchaguzi huo. Vicent ndugu yake na mbunge wa jimbo la Singida mashariki na mnadhimu mkuu wa sheria CHADEMA, Tundu Lissu, ametangaza rasmi kumng’oa mbunge wa CCM jimbo la Singida mjini Mohammed Gullam Dewji, kwenye uchaguzi...
11 years ago
Michuzibalozi seif aagiza usimamizi wa makubaliano kati ya mwekezaji wa hoteli ya sea cliff na wanakijiji
10 years ago
MichuziWASHIRIKI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAHIMIZA WANAKIJIJI KUFANYA KILIMO CHA BIASHARA, WAWAPA BURUDANI WANAKIJIJI.
11 years ago
GPLMAFUNZO JUU YA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA KWA WATU WENYE ULEMAVU IFAKARA KILOMBERO
10 years ago
GPLMKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AKUTANA NA WANA UMOJA WA MAFUNDI MAGARI TEGETA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI DHIDI YA MWEKEZAJI
10 years ago
GPLMAHABUSU AUAWA AKIJARIBU KUTOROKA MAHAKAMANI KISUTU, DAR