MAHABUSU AUAWA AKIJARIBU KUTOROKA MAHAKAMANI KISUTU, DAR
![](http://api.ning.com:80/files/kYLfWN4-a0awc2SwQD4Dbk1wTf-rt7vs0*kBHFZifWAES8WS3DT*QIPOkARHU7TQUWKH9dGm1SlWYoP-KVV2*JPXTgoDgNYA/BREAKINGNEWS.gif)
Muonekano wa mahabusu aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul Koroma raia wa Sierra Leone baada ya kupigwa risasi. Koroma akiwa kwenye machela tayari kwa kupelekwa kuifadhiwa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM31 Dec
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Mzzc_oRrCY8/VKOna06twLI/AAAAAAAAZsA/g_Umg2Yqbrw/s72-c/IMG-20141231.jpg)
MTUHUMIWA ALIYEJARIBU KUTOROKA MAHAKAMA YA KISUTU APIGWA RISASI
![](http://3.bp.blogspot.com/-Mzzc_oRrCY8/VKOna06twLI/AAAAAAAAZsA/g_Umg2Yqbrw/s1600/IMG-20141231.jpg)
Maofisa wa Polisi na Magereza wakiangalia mwili wa mtu aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya dawa za kulevya na kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam saa 2:00 asubuhi ya leo.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kinapasha kuwa mwili wa marehemu huyo ambaye bado jina lake halijatambulika umepelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Muhimbili. Picha kwa hisani ya Father Kidevu.
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Auawa akijaribu kuiba pikipiki
WATU wawili wamefariki dunia katika Mtaa wa Kigogo Mbuyuni, Dar es Salaam, akiwamo kijana anayesadikiwa kuwa katika kikundi cha ‘Panya road’ alipojaribu kupora pikipiki. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...
9 years ago
Mwananchi25 Aug
Masha afikishwa mahakamani Kisutu leo
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-BLZKbLmns3A/U7QmM7gcYtI/AAAAAAAABTI/NzhB_LNZrgI/s72-c/kalandinga.jpg)
Basi la mahabusu lashambuliwa Dar
Lamiminiwa risasi mfululizo, watatu wajeruhiwa Balozi wa Libya nchini ajiua kwa risasi ofisini
NA MWANDISHI WETU
GARI la Magereza lililokuwa limebeba mahabusu likitokea Mahakama ya Mwanzo Kawe kwenda Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, limeshambuliwa kwa risasi na mtu asiyefahamika.
![](http://3.bp.blogspot.com/-BLZKbLmns3A/U7QmM7gcYtI/AAAAAAAABTI/NzhB_LNZrgI/s1600/kalandinga.jpg)
Wakati tukio hilo likitokea jana mchana maeneo ya Mikocheni na kusababisha askari Magereza wawili, akiwemo dereva na mahabusu kujeruhiwa,
aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat, alifariki dunia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-M4fbdxsgeow/XnMgs0ZXNiI/AAAAAAALkZI/51Z7-xaeHlgsfq7QU3Iu8AAEDa1Y6g3AQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-19%2Bat%2B10.22.02%2BAM.jpeg)
JESHI LA MAGEREZA LASITISHA KUTEMBELEWA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU GEREZANI, MAHABUSU WAPYA KUPOKELEWA KWA KUHAKIKI AFYA ZAO
Akizungumza na MICHUZI BLOG, Msemaji wa jeshi la magereza SSP. Amina Kavirondo amesema kuwa baada ya kupimwa mahabusu wapya na kujiridhisha kuwa wako salama kwa maana hata polisi nao watakuwa wamechukuwa hatua kwa mahabusu hao.
"Na sisi watakapofika kwenye himaya ya kwetu tutachukua hatua ya kuhakikisha...
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Majambazi washambulia basi la mahabusu Dar
10 years ago
Mtanzania08 Jan
Panya Road wafurika mahabusu Dar
![Kamishna Suleiman Kova](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Suleiman-Kova-300x200.jpg)
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova
Asifiwe George na Mwajabu Kusupa (TEC), Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limeendelea na kamatakamata ya vijana wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha na uporaji, walio maarufu kwa jina la Panya Road.
Watuhumiwa 329 zaidi wametiwa mbaroni jana katika operesheni iliyofanyika katika mikoa miwili ya kipolisi, Temeke na Ilala na kufanya idadi yao kufikia 953.
Operesheni hiyo...
10 years ago
GPLWANAKIJIJI KILOMBERO KUMBURUZA MAHAKAMANI MWEKEZAJI