Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTUHUMIWA ALIYEJARIBU KUTOROKA MAHAKAMA YA KISUTU APIGWA RISASI


Maofisa wa Polisi na Magereza wakiangalia mwili wa mtu aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya dawa za kulevya na kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam saa 2:00 asubuhi ya leo. 
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kinapasha kuwa mwili wa marehemu huyo ambaye bado jina lake halijatambulika umepelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Muhimbili. Picha kwa hisani ya Father Kidevu.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mtuhumiwa wa mauaji nchini uingereza apandishwa kizimbani mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam leo


Mtanzania mwenye asili ya Kiarabu, Sammy al Mahri, aishiye Uingereza akiwa chini ya ulinzi wa polisi, wakati akipelekwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam,leo, kusomewa mashitaka ya kumuua mpenzi wake nchini Uingereza. Mahri anadaiwa kukimbilia Tanzania baada ya kufanya mauaji hayo. Picha na Khamis Mussa

 

10 years ago

GPL

MAHABUSU AUAWA AKIJARIBU KUTOROKA MAHAKAMANI KISUTU‏, DAR

Muonekano wa mahabusu aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul Koroma raia wa Sierra Leone baada ya kupigwa risasi. Koroma akiwa  kwenye machela tayari kwa kupelekwa kuifadhiwa…

 

11 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa adaiwa kupigwa risasi

Hali ni tete katika Kijiji cha Lang’ata Bora wilayani Mwanga kutokana na askari polisi kumpiga risasi mvuvi katika kijiji hicho jana asubuhi na kumvunja mguu, tukio lililogubikwa na utata.

 

10 years ago

Mwananchi

Apigwa risasi machimboni

Mtu mmoja amejeruhiwa begani kwa risasi baada ya ya vurugu kutokea juzi kwenye machimbo ya mchanga eneo la Makongo Juu.

 

11 years ago

GPL

MC MAARUFU DAR APIGWA RISASI 9

Stori: Haruni Sanchawa na Issa Mnally
Masikitiko yameigubika familia ya Jafari na wakazi wa Yombo-Kilakala, Temeke jijini Dar kufuatia tukio la mshereheshaji (MC) maarufu, Kelvin Jafari ‘Kalembo’ (42) kupigwa risasi tisa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi. MC Kelvin Jafari ‘Kalembo’ enzi za uhai wake. Tukio hilo lilijiri saa moja usiku wa Jumamosi iliyopita huko Yombo ambapo kwa mujibu wa mashuhuda,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati apigwa risasi Burundi

Mwanaharakati maarufu wa haki za kibinaadamu nchini Burundi ameigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na watu waliokuwa katika pikipiki kulingana na familia yake na watu walioshuhudia.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jambazi apigwa risasi na wenzake

MTU mmoja anayeshukiwa kuwa ni jambazi sugu, Benard Aaron (47) ‘Chinga’ amefariki dunia kwa kupigwa risasi na majambazi wenzake. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 8:00...

 

10 years ago

GPL

MFANYAKAZI WA MWANANCHI APIGWA RISASI

Mfanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella. MFANYAKAZI wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella amevamiwa na majambazi wenye silaha na kupigawa risasi, kujeruhiwa na kisha kuporwa fedha zake mchana huu maeneo ya Tabata-Relini jijini Dar. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Pella anadaiwa kuporwa kiasi cha Sh. Mil 2 alizokuwa nazo akiwa ametoka kuzichukua kwenye mashine ya kutolea fedha (ATM) Tawi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani