Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Apigwa risasi machimboni

Mtu mmoja amejeruhiwa begani kwa risasi baada ya ya vurugu kutokea juzi kwenye machimbo ya mchanga eneo la Makongo Juu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MC MAARUFU DAR APIGWA RISASI 9

Stori: Haruni Sanchawa na Issa Mnally
Masikitiko yameigubika familia ya Jafari na wakazi wa Yombo-Kilakala, Temeke jijini Dar kufuatia tukio la mshereheshaji (MC) maarufu, Kelvin Jafari ‘Kalembo’ (42) kupigwa risasi tisa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi. MC Kelvin Jafari ‘Kalembo’ enzi za uhai wake. Tukio hilo lilijiri saa moja usiku wa Jumamosi iliyopita huko Yombo ambapo kwa mujibu wa mashuhuda,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati apigwa risasi Burundi

Mwanaharakati maarufu wa haki za kibinaadamu nchini Burundi ameigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na watu waliokuwa katika pikipiki kulingana na familia yake na watu walioshuhudia.

 

10 years ago

GPL

MFANYAKAZI WA MWANANCHI APIGWA RISASI

Mfanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella. MFANYAKAZI wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella amevamiwa na majambazi wenye silaha na kupigawa risasi, kujeruhiwa na kisha kuporwa fedha zake mchana huu maeneo ya Tabata-Relini jijini Dar. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Pella anadaiwa kuporwa kiasi cha Sh. Mil 2 alizokuwa nazo akiwa ametoka kuzichukua kwenye mashine ya kutolea fedha (ATM) Tawi la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jambazi apigwa risasi na wenzake

MTU mmoja anayeshukiwa kuwa ni jambazi sugu, Benard Aaron (47) ‘Chinga’ amefariki dunia kwa kupigwa risasi na majambazi wenzake. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 8:00...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura

Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura.

 

10 years ago

Mtanzania

Mmoja apigwa risasi na jambazi Dar

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAM
MTU mmoja ambaye jina lake halikufahamika amepigwa risasi mbili na kuporwa fedha na mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni jambazi katika eneo la Kijiweni Karibu na Baa ya Delux, Sinza, Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea jana ambako MTANZANIA lilifika na kuelezwa na mashuhuda wa tukio hilo waliodai lilikuwa la kushtukiza na lilitokea saa 6.00 mchana.
Akisimulia tukio hilo dereva aliyekuwa akiendesha gari lililoshambuliwa namba T 236 DDT aliyefahamika kwa jina moja la...

 

10 years ago

GPL

MKE WA KIGOGO APIGWA RISASI KWAPANI

Joseph Ngilisho, Arusha
MKE wa Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wafugaji la Pingos Forum, Edward Porokwa, Flora Porokwa (37), mkazi wa Sakina Kwaidi amepigwa risasi na watu wanaohisiwa kuwa ni majambazi. Mke wa Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wafugaji la Pingos Forum, Edward Porokwa, Flora Porokwa aliyepigwa risasi. Tukio hilo lilitokea juzikati ambapo risasi hiyo alipigwa kwapani na kwenda kutokea mgongoni...

 

11 years ago

Habarileo

Mwendesha bodaboda apigwa risasi, aporwa

MWENDESHA pikipiki ya kusafirisha abiria (bodaboda) amepigwa risasi wilayani Kahama mkoani Shinyanga na kuporwa chombo hicho cha usafiri.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkereketwa apigwa risasi na kuuawa Libya

Wakili mashuhuri mkereketwa wa haki za kibinadamu nchini Libya ameuliwa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana mjini Benghazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani