MKE WA KIGOGO APIGWA RISASI KWAPANI
![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxboPowRZbOEqNH9RR9cetPr5CXQ9nwhYsAFfyFJUByKmPB*mk5Gc7JzP3l7cL2I7cM5eRyvGL*5RwwhdPYSTS7l/mke.jpg?width=650)
Joseph Ngilisho, Arusha MKE wa Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wafugaji la Pingos Forum, Edward Porokwa, Flora Porokwa (37), mkazi wa Sakina Kwaidi amepigwa risasi na watu wanaohisiwa kuwa ni majambazi. Mke wa Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wafugaji la Pingos Forum, Edward Porokwa, Flora Porokwa aliyepigwa risasi. Tukio hilo lilitokea juzikati ambapo risasi hiyo alipigwa kwapani na kwenda kutokea mgongoni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Apigwa risasi machimboni
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MFANYAKAZI WA MWANANCHI APIGWA RISASI
10 years ago
BBCSwahili04 Aug
Mwanaharakati apigwa risasi Burundi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg1ucIDuv5sylGl*aEzDq6u3-ioIeFNdLilJcPwMDWfKlw1EPqfuxh2TeyAbGwyLdwudhr7U5sPwbgqJGtlJwD0e/mc.jpg?width=550)
MC MAARUFU DAR APIGWA RISASI 9
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Jambazi apigwa risasi na wenzake
MTU mmoja anayeshukiwa kuwa ni jambazi sugu, Benard Aaron (47) ‘Chinga’ amefariki dunia kwa kupigwa risasi na majambazi wenzake. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 8:00...
11 years ago
BBCSwahili16 Apr
Mhifadhi mkuu apigwa risasi DRC
9 years ago
StarTV29 Dec
Mwanasoka Alfredo apigwa risasi na kufariki
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya El Salvador Alfredo Pacheco ameuawa kwa kupigwa risasi.
Taarifa zilizotolewa na serikali za El Salvador zinabainisha kuwa Pacheco amekutwa na mkasa huo baada ya mtu mmoja kumfyatulia risasi akiwa kwenye kituo cha mafuta katika mji wa Santa Ana, ambao upo umbali wa kilometa 76 Magharibi mwa mji wa San Salvador.
Uongozi wa jeshi la Polisi umesema watu kadhaa wamejeruhiwa katika shambulizi hilo dhidi ya Mlinzi huyo wa zamani wa El Salvador ambaye...
11 years ago
Habarileo16 Jan
Mwendesha bodaboda apigwa risasi, aporwa
MWENDESHA pikipiki ya kusafirisha abiria (bodaboda) amepigwa risasi wilayani Kahama mkoani Shinyanga na kuporwa chombo hicho cha usafiri.
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Mkereketwa apigwa risasi na kuuawa Libya