Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majambazi washambulia basi la mahabusu Dar

Majambazi wanne jana walilishambulia kwa risasi basi la Jeshi la Magereza lililokuwa limebeba mahabusu baada ya kupora fedha kwenye gari jingine lililokuwa kwenye foleni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Basi la mahabusu lashambuliwa Dar



Lamiminiwa risasi mfululizo, watatu wajeruhiwa Balozi wa Libya nchini ajiua kwa risasi ofisini
NA MWANDISHI WETU
GARI la Magereza lililokuwa limebeba mahabusu likitokea Mahakama ya Mwanzo Kawe kwenda Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, limeshambuliwa kwa risasi na mtu asiyefahamika.

Wakati tukio hilo likitokea jana mchana maeneo ya Mikocheni na kusababisha askari Magereza wawili, akiwemo dereva na mahabusu kujeruhiwa,
aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat, alifariki dunia...

 

11 years ago

Mwananchi

Walioshambulia basi la mahabusu watafutwa

>Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema wanawatafuta watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliolishambulia basi la mahabusu juzi na kujeruhi askari magereza.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LASITISHA KUTEMBELEWA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU GEREZANI, MAHABUSU WAPYA KUPOKELEWA KWA KUHAKIKI AFYA ZAO

Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiMAHABUSU wapya kupokelewa Gerezani mara baada ya kufanyiwa vipimo vya afya zao hii ni kufuatia kwa kuripotiwa kwa uwepo wa ugonjwa wa Corona (Covid-19) nchini.
Akizungumza na MICHUZI BLOG, Msemaji wa jeshi la magereza SSP. Amina Kavirondo amesema kuwa baada ya kupimwa mahabusu wapya na kujiridhisha kuwa wako salama kwa maana hata polisi nao watakuwa wamechukuwa hatua kwa mahabusu hao.
"Na sisi watakapofika kwenye himaya ya kwetu tutachukua hatua ya kuhakikisha...

 

10 years ago

Mtanzania

Panya Road wafurika mahabusu Dar

Kamishna Suleiman Kova

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova

Asifiwe George na Mwajabu Kusupa (TEC), Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limeendelea na kamatakamata ya vijana wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha na uporaji, walio maarufu kwa jina la Panya Road.
Watuhumiwa 329 zaidi wametiwa mbaroni jana katika operesheni iliyofanyika katika mikoa miwili ya kipolisi, Temeke na Ilala na kufanya idadi yao kufikia 953.
Operesheni hiyo...

 

10 years ago

GPL

MAHABUSU AUAWA AKIJARIBU KUTOROKA MAHAKAMANI KISUTU‏, DAR

Muonekano wa mahabusu aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul Koroma raia wa Sierra Leone baada ya kupigwa risasi. Koroma akiwa  kwenye machela tayari kwa kupelekwa kuifadhiwa…

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Majambazi 10 mbaroni Dar.



NA WILLIAM SHECHAMBOMAJAMBAZI 10 wanaounda mtandao hatari wa uhalifu nchini, wametiwa mbaroni wakati wa msako mkali uliofanikisha pia kukamatwa kwa silaha mbalimbali. Silaha hizo ni bunduki tisa zikiwemo SMG tatu, bastola mbili, short gun nne na risasi 15 zilikamatwa. Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, aliyasema hayo ofisini kwake kwenye mkutano na waandishi wa habari. Kova aliyataja majina ya wahalifu hao kuwa ni, Maulid Mbwate (23), Foibe Vicent (30), Vincent...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288  na risasi kumi na tatu wakati wa  mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi.  Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa  kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.  
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi yaua majambazi wawili Dar

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, wamefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG namba BA172288 na risasi 10 wakati wa mapambano makali ya ana kwa ana kati ya polisi na majambazi.

 

9 years ago

Mwananchi

Majambazi yapora Sh70 milioni Dar

Watu wanne wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha wamevamia gari ndogo aina ya Toyota Saloon na kupora fedha zinazokadiriwa kufikia Sh70 milioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani