Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walioshambulia basi la mahabusu watafutwa

>Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema wanawatafuta watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliolishambulia basi la mahabusu juzi na kujeruhi askari magereza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Basi la mahabusu lashambuliwa Dar



Lamiminiwa risasi mfululizo, watatu wajeruhiwa Balozi wa Libya nchini ajiua kwa risasi ofisini
NA MWANDISHI WETU
GARI la Magereza lililokuwa limebeba mahabusu likitokea Mahakama ya Mwanzo Kawe kwenda Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, limeshambuliwa kwa risasi na mtu asiyefahamika.

Wakati tukio hilo likitokea jana mchana maeneo ya Mikocheni na kusababisha askari Magereza wawili, akiwemo dereva na mahabusu kujeruhiwa,
aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat, alifariki dunia...

 

11 years ago

Mwananchi

Majambazi washambulia basi la mahabusu Dar

Majambazi wanne jana walilishambulia kwa risasi basi la Jeshi la Magereza lililokuwa limebeba mahabusu baada ya kupora fedha kwenye gari jingine lililokuwa kwenye foleni.

 

11 years ago

Mwananchi

Abiria 10 wafa, wengine watafutwa

>Watu 10 wamekufa maji na wengine wanaendelea kutafutwa baada ya boti mbili kupigwa dhoruba na mojawapo kuzama katika maeneo tofauti ya Bahari ya Hindi.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LASITISHA KUTEMBELEWA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU GEREZANI, MAHABUSU WAPYA KUPOKELEWA KWA KUHAKIKI AFYA ZAO

Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiMAHABUSU wapya kupokelewa Gerezani mara baada ya kufanyiwa vipimo vya afya zao hii ni kufuatia kwa kuripotiwa kwa uwepo wa ugonjwa wa Corona (Covid-19) nchini.
Akizungumza na MICHUZI BLOG, Msemaji wa jeshi la magereza SSP. Amina Kavirondo amesema kuwa baada ya kupimwa mahabusu wapya na kujiridhisha kuwa wako salama kwa maana hata polisi nao watakuwa wamechukuwa hatua kwa mahabusu hao.
"Na sisi watakapofika kwenye himaya ya kwetu tutachukua hatua ya kuhakikisha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wataliban walioshambulia Kabul wauawa

Wapiganaji wanne wa kundi la Taliban walioshambulia mgahawa ulio karibu na ubalozi wa Uhispania mjini Kabul wameuawa.

 

10 years ago

GPL

POLISI WA TEXAS WAUA WAWILI WALIOSHAMBULIA HAFLA YA UCHORAJI VIBONZO VYA MTUME

Ofisa wa polisi akidumisha ulinzi eneo lilipotokea shambulio. Mwanausalama akiwatuliza watu waliohudhuria hafla hiyo baada ya shambulio. Rais wa kundi lililoandaa hafla hiyo la American Freedom Defense Initiative (AFDI), Pamela Geller akiongea na wanahabari.…

 

10 years ago

Vijimambo

DEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA

Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika.

Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

MAUAJI YA MAHABUSU


Mazito yaibuka tena 

MOI yazuia jalada la marehemu, yataka malipo Familia, Polisi waendelea wavutana NA MWANDISHI WETU
MAITI ya mtuhumiwa aliyedaiwa kupigwa na kusababisha kifo chake akiwa mahabusu, imeshindwa kufanyiwa uchunguzi ili kutoa fursa kwa ndugu kuendelea na taratibu za maziko.
Liberatus Damian, alifariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kufikishwa kwa matibaabu akiwa hoi kwa kile kinachodaiwa kupigwa akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi Stakishari, Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahabusu amuua Polisi

ASKARI Polisi F 5264, PC Sabato (37), ameuawa kwa kupigwa jiwe kichwani na mtuhumiwa, Njoke ole Kilimbi (34). Askari huyo alikumbwa na mkasa huo juzi mchana kweupe wakati akimrejesha mtuhumiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani