Mahabusu amuua Polisi
ASKARI Polisi F 5264, PC Sabato (37), ameuawa kwa kupigwa jiwe kichwani na mtuhumiwa, Njoke ole Kilimbi (34). Askari huyo alikumbwa na mkasa huo juzi mchana kweupe wakati akimrejesha mtuhumiwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eSEQmF5r2SQ/Xk0_VtTP5VI/AAAAAAALeWM/JdjQhHCN0PAp6RhvzUztPF-uL6yfvt5mQCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1AA-1-1024x682.jpg)
SIMBACHAWENE AWATAKA WATENDAJI WAKUU POLISI KUWAHOJI WATUHUMIWA WALIOPO MAHABUSU ZA POLISI NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-eSEQmF5r2SQ/Xk0_VtTP5VI/AAAAAAALeWM/JdjQhHCN0PAp6RhvzUztPF-uL6yfvt5mQCLcBGAsYHQ/s640/PIX-1AA-1-1024x682.jpg)
10 years ago
BBCSwahili11 May
Jaji aamuru Polisi awekwe mahabusu
Jaji wa mahakama ,Misri aamuru polisi aliyepelekwa mahamani hapo kwa tuhuma za kumua mwanamke mmoja mwanaharakati awekwe mahabusu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zvxMwCoWaao9s80QS1Ng6PhHZpG7DwguvWj70FqP82dNbuHR38WTxe6xcDTFCTCBZScyVP-R2gvs6to23OII6q2VR1*5CKfZ/Mahabusu.gif?width=650)
MAHABUSU ADAIWA KUFIA KITUO CHA POLISI
Na Shani Ramadhani
MSIBA! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Juma Abdallah Juma (51), mkazi wa Bunju ‘B’ jijini Dar anadaiwa kufia kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar huku ndugu wakiibuka na madai kuwa, alipigwa na polisi wa kituo alichowekwa mahabusu, Uwazi lilifuatilia. Marehemu Juma Abdallah Juma enzi za uhai wake. Akizungumza na gazeti hili, dada wa marehemu Juma, Mwanaidi Abdallah alisema, awali,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycPtM5gG1ygTPqS6orxMNSSs-wOM*sC9FtneurWO8o0MxgCZBW0JeIJB7rVOw3QGQ3EpjqLNLLNmIFZu*b2TWjgH/MAZITO.gif?width=650)
MTOTO KUFIA MAHABUSU POLISI MAZITO YAIBUKA
Denis Mtima na Gabriel Ng’osha
LILE sakata la mtoto wa miezi 6 (pichani) kufia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar linaendelea! Safari hii, mama wa mtoto huyo, Meradi Meshack ameibua mazito akiwataja polisi jamii kuwa ndiyo chanzo cha kifo cha mwanaye. Mtoto Thomas wa miezi 6 aliyefia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar enzi za uhai wake. Awali ilibainika kuwa,...
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Mtuhumiwa amuua askari polisi kwa jiwe
Askari polisi F. 5264 PC Sabato (37) wa Kituo cha Polisi cha Longido, wilayani Monduli, ameuawa kwa kupigwa jiwe na mtuhumiwa aliyekuwa akimpeleka mahabusu katika Gereza la Kisongo.
9 years ago
Michuzi13 Oct
MWANAHABARI AMUUA POLISI KWA KISU WAKIGOMBEA MWANAFUNZI
ASKALI Polisi wa mjini Babati, Mkoa wa Manyara ameuawa kwa kuchomwa kisu na mtangazaji mmoja wa redio kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Baadhi ya wakazi wa Babati walisema jana kuwa wanaume hao walikuwa wakimgombea mwanafunzi wa kidato cha pili walipokuwa baa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alimtaja aliyeuawa kuwa ni Rashid Haruna (30) mwenyeji wa Mkoa wa Njombe.Kamanda Fuime alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 5.30 usiku eneo la Kitalu X.
Alisema Polisi...

Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-X9fNYiASwUU/XlkVK7neQwI/AAAAAAALf14/gZXGvWJQud8bcv9stwox9defM_mxQ_b9QCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA POLISI KUACHA KUZALISHA MAHABUSU MAGEREZANI
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kuangalia aina ya makosa ya watuhumiwa ambayo yana dhaminika ili kupunguza mlundikano wa mahabusu Magerezani.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukagua miradi ya maendeleo ya Jeshi la Magereza na baadaye kuzungumza na Maafisa na Askari wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma, leo, Simbachawene alisema Jeshi hilo linakabiliwa na changamoto ya idadi kubwa ya mahabusu ukilinganisha na wafungwa waliopo...

Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-M4fbdxsgeow/XnMgs0ZXNiI/AAAAAAALkZI/51Z7-xaeHlgsfq7QU3Iu8AAEDa1Y6g3AQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-19%2Bat%2B10.22.02%2BAM.jpeg)
JESHI LA MAGEREZA LASITISHA KUTEMBELEWA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU GEREZANI, MAHABUSU WAPYA KUPOKELEWA KWA KUHAKIKI AFYA ZAO
Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiMAHABUSU wapya kupokelewa Gerezani mara baada ya kufanyiwa vipimo vya afya zao hii ni kufuatia kwa kuripotiwa kwa uwepo wa ugonjwa wa Corona (Covid-19) nchini.
Akizungumza na MICHUZI BLOG, Msemaji wa jeshi la magereza SSP. Amina Kavirondo amesema kuwa baada ya kupimwa mahabusu wapya na kujiridhisha kuwa wako salama kwa maana hata polisi nao watakuwa wamechukuwa hatua kwa mahabusu hao.
"Na sisi watakapofika kwenye himaya ya kwetu tutachukua hatua ya kuhakikisha...

Uhuru Newspaper04 Sep
MAUAJI YA MAHABUSU
Mazito yaibuka tena
MOI yazuia jalada la marehemu, yataka malipo Familia, Polisi waendelea wavutana NA MWANDISHI WETU
MAITI ya mtuhumiwa aliyedaiwa kupigwa na kusababisha kifo chake akiwa mahabusu, imeshindwa kufanyiwa uchunguzi ili kutoa fursa kwa ndugu kuendelea na taratibu za maziko.
Liberatus Damian, alifariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kufikishwa kwa matibaabu akiwa hoi kwa kile kinachodaiwa kupigwa akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi Stakishari, Dar es...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania