MAHABUSU ADAIWA KUFIA KITUO CHA POLISI
Na Shani Ramadhani MSIBA! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Juma Abdallah Juma (51), mkazi wa Bunju ‘B’ jijini Dar anadaiwa kufia kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar huku ndugu wakiibuka na madai kuwa, alipigwa na polisi wa kituo alichowekwa mahabusu, Uwazi lilifuatilia. Marehemu Juma Abdallah Juma enzi za uhai wake. Akizungumza na gazeti hili, dada wa marehemu Juma, Mwanaidi Abdallah alisema, awali,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMTOTO KUFIA MAHABUSU POLISI MAZITO YAIBUKA
Denis Mtima na Gabriel Ng’osha
LILE sakata la mtoto wa miezi 6 (pichani) kufia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar linaendelea! Safari hii, mama wa mtoto huyo, Meradi Meshack ameibua mazito akiwataja polisi jamii kuwa ndiyo chanzo cha kifo cha mwanaye. Mtoto Thomas wa miezi 6 aliyefia mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Kova, Mbezi Kwamsuguri, Dar enzi za uhai wake. Awali ilibainika kuwa,...
9 years ago
MichuziAskari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.
Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.

GPLKITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA
WATU wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI
JESHI la Polisi mkoani Arusha, litaanza ujenzi wa kituo kidogo cha polisi katika kata ya Kisongo wilayani Arumeru mkoani hapa baada ya jitihada za Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kuwapa eneo la ujenzi huo ili kuondoa kero kwa wananchi.
Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.
Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...

VijimamboMAJAMBAZI WALIOVAMIA KITUO CHA POLISI CHA STAKISHARI, WAKAMATWA
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limefanikiwa kuwakamata majambazi watano wanaodaiwa kuhusika na tukio la uvamizi katika kituo cha polisi cha Stakishari kilichopo Ukonga.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema Majambazi hao wamekamatwa Mbagala ambapo katika tukio hilo pia wamekamata pia fedha shilingi milioni 170 na bunduki 16 miongoni mwao ni zile zilizoibiwa katika kituo cha Stakishari.
11 years ago
Michuzi100.5 Times Fm yakichangia kituo cha Polisi cha Kawe vifaa mbalimbali
Kituo cha radio cha 100.5 Times Fm, June 21 kilitoa mchango wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukisaidia kituo cha polisi cha Kawe, wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Times Fm imetoa mchango huo baada ya kubaini changamoto mbalimbali za kiutendaji zinazokikabili kituo hicho cha polisi kutokana na upungufu wa vifaa.
Baadhi ya vifaa vilivyokabithiwa kwa kituo hicho cha polisi ni pamoja na viti, meza na vifaa mbalimbali vitavypotumika katika uandishi na uchapaji wa taarifa zao...

MichuziIPTL yapiga jeki ujenzi wa kituo cha polisi cha Mbweni- Malindi
Meneja Mkuu wa Utawala na Rasilimali wa Jeshi la Polisi la Tanzania, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye (kulia) akifurahia jambo na Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Bw. Harbinder Sethi (kushoto), wakati akipokea hundi ya shilingi milioni 10 iliyotolewa na IPTL kuchangia ujenzi wa kituo cha Polisi cha Mbweni-Malindi. Katikati ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum la kipolisi Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi, Suleiman Kova.
Meneja Mkuu wa Utawala...
10 years ago
MichuziCHIKAWE AZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO YA DHARURA CHA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu, mara baada ya kuwasili katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Dharura cha Polisi, iliyofanyika katika viwanja vya Kituo cha Kati cha Polisi,jijini Dar es salaam ambapo alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo. Katikati (mwenye tai) ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa ambaye pia alihudhuria hafla hiyo.kULIA...
11 years ago
MichuziEPZA YASAIDIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA MAKUBURI KIBANGU, DAR ES SALAAM
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Mamlaka ya ukanda maalumu wa uwekezaji (EPZA), Bw. Desidery Kalimwenjuma (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa polisi wilaya ya kimara, SP Cosmas Papalika (katikati) moja ya vifaa vitakavyotumika kwa ajili ya ukarabati wa kituo kidogo cha polisi cha Mwongozo kilichopo Makuburi Kibangu jijini Dar es Salaam. Wengine ni afisa wa polisi, Ali Rashidi (kulia), Mkuu wa kituo cha hicho, John Haule (wa pili kulia) na Mkuu wa kitengo cha manunuzi kutoka EPZA Bw. Joseph...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania