Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE HAURIDHISHWI NA MSIMAMIZI WENU WA MIRATHI, HII NI NJIA YA KUMUONDOA.

Na Bashir YakubWapo  watu ambao  baada  ya  kupata  cheo au  nafasi  ya  kuwa wasimamizi wa mirathi  hugeuka  waungu.  Huwa hawaambiwi  wala  hawasikii  la  mtu. Huwezi kuamini  kuwa  kuna baadhi ya wasimamizi wa  mirathi  wamekataa  kugawa  mali  za marehemu  sasa ni zaidi ya miaka   kumi. Na si kwamba wamefanya  hivyo  kwa maslahi mapana  ya familia, hapana. Wamefanya  hivyo kwa ukorofi  lakini kubwa zaidi  wanafanya  hivyo  ili waendelee  kunufaika na  mali za marehemu  peke  yao. Mambo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sababu za kumuondoa msimamizi wa mirathi — 2

KWA wasomaji wapya,  wiki iliyopita nilizungumzia usimamizi wa mirathi  pamoja na wanaonufaika na mirathi. Sheria ya usimamizi wa mirathi sura ya 352 ya sheria za Tanzania, ndiyo nitakayoirejea katika kuzungumzia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sababu za kumuondoa msimamizi wa mirathi

LEO tutaangalia wajibu wa wasimamizi wa mirathi. Nitazungumzia juu ya usimamizi wa mirathi  pamoja na mambo muhimu  juu ya wanaonufaika na mirathi. Katika Mahakama za Mwanzo pamoja na  zile mahakama ...

 

10 years ago

Michuzi

KAMA HAMUELEWANI JUU YA MSIMAMIZI MIRATHI INARUHUSIWA NYOTE KUOMBA KUSIMAMIA MIRATHI

Na  Bashir  Yakub.
Mara  kadhaa kwenye  familia  mbalimbali   kumekuwa hakuna  maelewano  juu  ya  nani  asimamie  mirathi. Unakuta  wapo  wanaomkubali  fulani  asimamie  na  wapo  wanomkataa  wakimtaka   fulani  mwingine  ndiye  asimamie.  Hii   huwa  na  athari  kubwa sana  kwa  warithi  hasa  watoto  kama  wanasoma  ambao  kimsingi  hutakiwa kutumia mali  zile katika  mahitaji  ya  msingi  kama  ada  na  mahitaji  mengine muhimu ya  kiustawi. 
Tumeshashuhudia  mara  nyingi  watoto  wakiacha...

 

10 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kumng’oa msimamizi wa mirathi

Uwanja wa Kambole leo unakupa fursa ya kusoma na kuelewa juu ya sheria za mirathi hasa kwenye kipengele cha kumpinga na kumuondoa msimamizi wa mirathi. Hata hivyo, unapaswa kufahamu kuwea kiuzoefu wasimamizi wengi wa mirathi ni wakorofi. Kwanza wakishachaguliwa wanaanza kutumia mali za marehemu kwa faida yao.

 

10 years ago

Michuzi

makala ya sheria: USINUNUE KIWANJA/NYUMBA YA MIRATHI BILA KUPATA FOMU HII.



Na Bashir YakubNimeandika makala nyingi kuhusu namna  ya kisheria ya kuepuka  kununua nyumba/viwanja  vyenye  migogoro kwakuwa  migogoro ya vitu hivi inaumiza sana. Waliokutana na migogoro hii wanajua  vyema ninaongea nini. Katika mwendelezo wa kumuepusha mnunuzi  na janga hili, leo tena tuangalie taratibu za ununuzi wa nyumba/kiwanja cha  mirathi. Nataka ieleweke vyema kuwa taratibu za manunuzi ya nyumba/kiwanja  zinatofautiana. Tofauti kubwa  ni za kisheria hasa  namna ya uandishi wa...

 

9 years ago

Bongo5

Hii ndio njia aliyotumia Khole Kardashian kumpiga chini boyfriend wake baada ya kurudiana na mumewe!

Baada ya mdogo wake Kim K, Khole Kardashian kurudisha uhusiano wake na mume wake Lamar Odom ambaye ni mgonjwa, Khloe alilazimika kumpiga chini aliyekuwa boyfriend wake mpya. Kupigwa chini na mpenzi inamua (kama umeshawahi kuwa kwenye nafasi hiyo utakuwa unafahamu), lakini kupigwa chini kwa style aliyotumia Khloe ndio inaweza kuwa inauma zaidi. Baada ya Star […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani wahojiwa kumuondoa mwenyekiti

KAMATI ya Usalama na Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tanga, imewahoji madiwani 22 wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini akiwemo mbunge wa jimbo hilo, Stephen Ngonyani kuhusu kumuondoa madarakani...

 

10 years ago

Habarileo

Washushuliwa kumuondoa DED bila utaratibu

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera amesema Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara halina mamlaka ya kumkataa na kumwondoa madarakani Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Grace Mbaruku kwa kuwa kanuni na sheria haziwapi fursa ya kufanya hivyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani