NJIA HII YA KUIBA MAREKANI UTAPOTEA SEKUNDE UTAJIKUTA LUPANGO ANGALIA VIDEO HII INASIKITISHA KUONA JAMAA UNAYEISHI NAE KUMBE MWIZI
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo31 Dec
FC Barcelona ushindi kama kawaida yao, Lionel Messi nae kwenye headlines za rekodi hii (+Pichaz&Video)
December 30 Ligi Kuu ya Hispania iliendelea kwa michezo 9 kupigwa katika viwanja mbalimbali, huu ni muendelezo wa mechi za Laliga ambapo ilikuwa imesimama kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christmas, hivyo December 30 iliendelea kama kawaida. Miongoni mwa michezo iliyochezwa December 30 ni mechi kati ya FC Barcelona dhidi ya Real Betis. Huu ni […]
The post FC Barcelona ushindi kama kawaida yao, Lionel Messi nae kwenye headlines za rekodi hii (+Pichaz&Video) appeared first on...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Video 2 fupi za comedy:Mwizi wa gari alivyotegwa, Boyfriend anapojidai msamaria kumbe girlfriend tayari ameshajua anachepuka
Kuna vipisi vya sekunde 15 kila kimoja hapa kwenye hii post ya vichekesho/vituko vilivyotengenezwa ambapo hiki cha kwanza hapa kinahusu boyfriend anapojidai msamaria kumbe girlfriend tayari ameshajua anachepuka na cha pili kinahusu Mwizi wa gari alivyotegwa. Pale Boyfriend anapojidai msamaria kumbe girlfriend tayari ameshajua anachepuka… A video posted by millard ayo (@millardayo) on Dec 15, 2015 […]
The post Video 2 fupi za comedy:Mwizi wa gari alivyotegwa, Boyfriend anapojidai msamaria...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video)
Bado headlines za anayetajwa kuwa kocha ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola anakwenda kufundisha klabu gani zinazidi kuchukua nafasi, tayari Pep Guardiola ametaja nchi atakayokwenda kufundisha soka baada ya kukiri kuwa hatoendelea na kuifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani. Pep Guardiola amekiri kuamua kuondoka ndani ya klabu ya FC Bayern, baada ya kuitumikia […]
The post Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video) appeared first...