MGOGORO MZITO MIRATHI YA KULOLA
![](http://api.ning.com:80/files/rpTO7xq7SsG23jvX2yr36M3GJdP8sP3qyumCjUGM81PNXLcJPBmexgP67Ewy18LPZ1lbvVYlYw9-OUs7jRPjqPg2qTYRPOJ8/mgogoro2.jpg?width=650)
Stori: Waandishi Wetu HALI ni tete! Familia ya aliyekuwa muasisi wa imani ya kilokole nchini na Askofu wa Kanisa la Evangelist Assembles of God Tanzania (EAGT), marehemu Dk. Moses Samuel Kulola (83), inadaiwa kuingia kwenye mgogoro mzito wa usimamizi wa mirathi ya mali alizoziacha kiongozi huyo. Marehemu Dk. Moses Samuel Kulola. CHANZO? Ilidaiwa kuwa gogoro hilo limekuja baada ya mtu mmoja kuibuka na kudai yeye ndiye…...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d2ykzKtnBqJGjNtYNFaZCfmyZGrQywCxx-SYHh3Dxd-FWUX*4ryzvDoVcYELnCpo3GRZd2dStg7GOXgZIfkHTSr/kulola.jpg?width=650)
MIRATHI YA KULOLA, FAMILIA YAMEGUKA
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Mgogoro mzito wa ushuru
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Burundi yakumbwa na mgogoro mzito wa kisiasa
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MmSI2oTxaRo/VZYRkLDM61I/AAAAAAAHmik/2dw6vu67Vpc/s72-c/law_5.jpg)
KAMA HAMUELEWANI JUU YA MSIMAMIZI MIRATHI INARUHUSIWA NYOTE KUOMBA KUSIMAMIA MIRATHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-MmSI2oTxaRo/VZYRkLDM61I/AAAAAAAHmik/2dw6vu67Vpc/s320/law_5.jpg)
Mara kadhaa kwenye familia mbalimbali kumekuwa hakuna maelewano juu ya nani asimamie mirathi. Unakuta wapo wanaomkubali fulani asimamie na wapo wanomkataa wakimtaka fulani mwingine ndiye asimamie. Hii huwa na athari kubwa sana kwa warithi hasa watoto kama wanasoma ambao kimsingi hutakiwa kutumia mali zile katika mahitaji ya msingi kama ada na mahitaji mengine muhimu ya kiustawi.
Tumeshashuhudia mara nyingi watoto wakiacha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm9-5CWM9nsRnXS5Op*o4t3U6ZmRrj5ZmV5kXZsvRnwCKWaFT-q5blhR0d1BEfuRZIALYrBQULGV35TP*Vs-A7Vd/photo.jpg?width=650)
MCHUNGAJI MBARONI KISA, RAMBIRAMBI ZA ASKOFU KULOLA
10 years ago
Michuzi04 Dec
semina kubwa ya neno la Mungu kutoka kwa DANIEL MOSES KULOLA -DALLAS TEXAS,
Daniel Kulola ni mtoto wa marehemu mzee Moses Kulola,mtumishi ambae ametoa mchango mkubwa sana wa injili katika Taifa letu kabla hajaenda kukaa na Bwana. Ili kuhakikisha kila mtu anapata nafasi ya kuhudhuria semina hii; kanisa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/MIRATHI-5-001.jpg?width=650)
MIRATHI NUSURA IMTOE ROHO!
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Sababu za kumuondoa msimamizi wa mirathi
LEO tutaangalia wajibu wa wasimamizi wa mirathi. Nitazungumzia juu ya usimamizi wa mirathi pamoja na mambo muhimu juu ya wanaonufaika na mirathi. Katika Mahakama za Mwanzo pamoja na zile mahakama ...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
TABCO: Wanawake wamilikishwe mirathi
SHIRIKA linalojishughulisha na kutetea haki za wanawake na watoto jijini Mwanza la TABCO, limeitaka jamii nchini kuwathamini na kuwapa wanawake haki ya kumiliki mirathi ya wenzi wao. Kauli hiyo ilitolewa...