Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


semina kubwa ya neno la Mungu kutoka kwa DANIEL MOSES KULOLA -DALLAS TEXAS,

Napenda kupitia blog hii ya jamii kuwakaribisha watu wote katika jiji hili la Dallas,Texas katika semina kubwa ya neno la Mungu itakayofanyika katika jiji letu. Mtumishi wa Mungu anaeheshimika ndani na nje ya nchi yetu Dr.Daniel Moses Kulola ndie atakae tuhudumia. 
Daniel Kulola ni mtoto wa marehemu mzee Moses Kulola,mtumishi ambae ametoa mchango mkubwa  sana wa injili katika Taifa letu kabla hajaenda kukaa na Bwana. Ili kuhakikisha kila mtu anapata nafasi ya kuhudhuria semina hii; kanisa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BISHOP MABOYA KUHUBIRI NENO KATIKA JIJI LA DALLAS,TEXAS USA

Kwa niaba ya uongozi wa Kanisa la Umoja International Outreach lenye makao yake ktk jiji hili la Dallas, ninapenda kumkaribisha kila mtu ktk semina ya neno la Mungu.  Semina hii ya aina yake itaongozwa na mtumishi Bishop Dunstan Maboya (pichani juu) kutoka Tanzania. Mungu amekuwa  akimtumia huyu mtumishi kwa ishara na miujiza mingi.Ninapenda kumkaribisha kila mtu ktk semina hii.Leteni wagonjwa mbali mbali kwa ajili ya maombezi.
Siku: Tarehe 16-18 (Friday-Sunday) Time:Friday ni 6:00pm   ...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA KUBWA LA UIMBAJI KATIKA JIJI LA DALLAS-TEXAS

Kupitia mtandao huu wa jamii,  ninayoheshima kuwakaribisha watu wote kutoka jiji hili la Dallas na vitongoji vyake katika TAMASHA  KUBWA LA UIMBAJI  litakalofanyika katika mji wetu.Tamasha hili litatanguliwa na chakula cha pamoja saa kumi na moja kamili mpaka saa kumi na mbili jioni.Karibuni sana.Pastor Absalom

 

10 years ago

Vijimambo

Semina ya Neno la Mungu.

Mhubiri:       Mchungaji Grace Gwajima kutoka Glory of Christ Church Tanzania

(Ufufuo na Uzima)


(Grace gwajima ni mke wa Josephat Gwajima ambaye ni askofu na mchungaji kiongozi wa kanisa)


Kutakuwa na maombi kwa watu wenye mahitaji mbali mbali.


Muda:            Saa  10 jioni mpaka saa 1 usiku.

Jumamosi , 1st November1 , 2014


Mahala:         Hampton Inn

                        9670 Baltimore Ave, College Park.  Maryland.


                       

                        Pia kutakuwa na viburudisho...

 

10 years ago

Michuzi

Semina ya Texas Karate Black Belts yafanyika Houston, Texas

Texas Black Belts club Seminar , imeandaliwa na Sensei Ramon Veras, Dan 7, Okinawa Goju Ryu Kyokai, mjini Houston, Texas tarehe 19 April, 2015. Pia ni sehemu moja ya maandalizi na marekebisho ya mbinu na ufundi wa vipande tofauti katika mfumo mzima wa  Sanaa na tayari kwa baadhi ya washiriki kwa msafara wa kwenda kwenye chimbuko la Karate huko Okinawa, Japan.
 Sensei Rumadha Fundi, ni mmoja ya wawakilishi wa Goju Ryu Jundokan, atayoiwakilisha Tanzania kwenye msafara huo.. Baada ya takriban...

 

10 years ago

Vijimambo

UKODAK MOMENT DALLAS, TEXAS


Mshereheshaji Sunday Simba Shomari aka Triple S (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mpwa ndani ya mgahawa wa Hotel ya Westin iliyopo mtaa wa Legacy Dr. jijini Dallas jimbo la Texas siku ya Jumapili July 5, 2015 wakipata kifungua kinywa baada ya kazi nzito ya kusherehesha na kuburudisha sherehe ya harusi ya Sandra na George iliyofanyika mjini humo siku ya Jumamosi July 4, 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani