Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHUNGAJI MBARONI KISA, RAMBIRAMBI ZA ASKOFU KULOLA

Mchungaji wa Kanisa la Evangelist Assemblies Of God City Centre jijini hapa, Michael Kulola. Stori: Mashaka Baltazar, Mwanza MH! Mchungaji wa Kanisa la Evangelist Assemblies Of God City Centre jijini hapa, Michael Kulola ametiwa mbaroni kisha kufikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Mwanza kisa wizi wa fedha za rambirambi za Askofu Moses Kulola kiasi cha Sh. milioni 33. Picha ya marehemu Askofu… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Vita ya Mchungaji na Askofu ndani ya Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Peter Msigwa amemvaa Askofu Donald Mtetemela na kumtaka avae rasmi magwanda ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

Habarileo

Mchungaji Anglikana mbaroni tuhuma za mauaji

MCHUNGAJI mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Usharika wa Mfarasi kata ya Madilu wilayani Ludewa, mkoani Njombe, Petro Chambachamba (87) anashikiliwa Polisi akihusishwa kwenye kesi ya mauaji. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Njombe, Fulgence Ngonyani, amesema jana kuwa Chambachamba pamoja na watu wengine wanane, wamekamatwa wakihusishwa na mauaji yaliyotokea Februari 25, mwaka huu saa 8 mchana katika kijiji cha Mfarasi.

 

9 years ago

Michuzi

Baraza la Vyama vya Siasa nchini latuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mchungaji Mtikila

 Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Peter Kuga Mzirai (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa salamu za rambirambi na kutoa taarifa ya kuahirishwa kwa kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichokuwa kifanyike tarehe 06 na 07 Oktoba, 2015 katika Hoteli Bwawani Zanzibar  hadi tarehe nyingine itakapotangazwa tena kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa taifa wa Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea...

 

11 years ago

Mwananchi

Vita ya Mchungaji na Askofu ndani ya Bunge Maalumu la Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Peter Msigwa amemvaa Askofu Donald Mtetemela na kumtaka avae rasmi magwanda ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atuma salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Askofu Nkalanga

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAKURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512, 2116898E-mail: press@ikulu.go.tzTovuti : www.ikulu.go.tz              Faksi: 255-22-2113425
OFISI YA RAIS,      IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,  11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa kufuatia kifo cha Askofu Mstaafu Plasdus Gervas Nkalanga...

 

9 years ago

Michuzi

MCHUNGAJI CHARLES GADI ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YOTE YA GOOD NEWS FOR ALL NCHINI TANZANIA


Askofu Charles Gadi akitoa historia yake katika ibada yake ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu wa Makanisa ya Good News for All baada ya kusimikwa rasmi katika kanisa hilo la Mapinga Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani hivi karibuni.Wazee wa kiroho wa Askofu Gadi wakiwasalimia waumini katika ibada hiyo.Rais wa Makanisa ya Kipentekosti Afrika, Dk.Athar Gitonga (kushoto), akimkabdidhi fimbo ya Uaskofu, Askofu Gadi wakati wa ibada hiyo ya kuzimikwa kuwa Askofu wa Makanisa hayo.Hapa akikabidhiwa...

 

9 years ago

Michuzi

Mbaraka wa Askofu Mteule Mchungaji Kenan Salim Panja, Kanisa La Moravian Jimbo la Kusini mjini Tukuyu Leo

Msafara kutoka Usharika Tukuyu Mjini kuelekea Uwanja wa Tandale mjini Tukuyu leo katika Mbaraka wa Askofu Mteule Mchungaji Kenan Salim Panja, Kanisa La Moravia Jimbo la Kusini, Viwanja vya Michezo Tandanle mjini Tukuyu Leo Kwaya Kuu Jimbo la Kusini- Kanisa la Moravian Tanzania; Ibada ya kuwekewa Wakfu Askofu Mteule Kenan Salim Panja wa kanisa la Moravian Jimbo la Kusini uwanja wa Tandale mjini Tukuyu leo.
Picha na Mpeli Nsekela

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani