MIRATHI YA KULOLA, FAMILIA YAMEGUKA
![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d2ykzKtnBqJGjNtYNFaZCfmyZGrQywCxx-SYHh3Dxd-FWUX*4ryzvDoVcYELnCpo3GRZd2dStg7GOXgZIfkHTSr/kulola.jpg?width=650)
Na Jelard Lucas SHETANI ana majaribu yake! Anaendelea kuifuatilia familia ya mtumishi wa Mungu aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT), Marehemu Dkt. Moses Kulola. Habari za karibuni, mpasuko mkubwa umeibuka baada ya kuwepo kwa sintofahamu dhidi ya mirathi ya marehemu huyo aliyefariki dunia Agosti 29, mwaka jana huku makundi mawili yakiibuka. Awali, Mchungaji Katunzi aliibuka na kudai...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rpTO7xq7SsG23jvX2yr36M3GJdP8sP3qyumCjUGM81PNXLcJPBmexgP67Ewy18LPZ1lbvVYlYw9-OUs7jRPjqPg2qTYRPOJ8/mgogoro2.jpg?width=650)
MGOGORO MZITO MIRATHI YA KULOLA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MmSI2oTxaRo/VZYRkLDM61I/AAAAAAAHmik/2dw6vu67Vpc/s72-c/law_5.jpg)
KAMA HAMUELEWANI JUU YA MSIMAMIZI MIRATHI INARUHUSIWA NYOTE KUOMBA KUSIMAMIA MIRATHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-MmSI2oTxaRo/VZYRkLDM61I/AAAAAAAHmik/2dw6vu67Vpc/s320/law_5.jpg)
Mara kadhaa kwenye familia mbalimbali kumekuwa hakuna maelewano juu ya nani asimamie mirathi. Unakuta wapo wanaomkubali fulani asimamie na wapo wanomkataa wakimtaka fulani mwingine ndiye asimamie. Hii huwa na athari kubwa sana kwa warithi hasa watoto kama wanasoma ambao kimsingi hutakiwa kutumia mali zile katika mahitaji ya msingi kama ada na mahitaji mengine muhimu ya kiustawi.
Tumeshashuhudia mara nyingi watoto wakiacha...
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Ukawa yameguka Handeni, 115 wahamia CCM
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm9-5CWM9nsRnXS5Op*o4t3U6ZmRrj5ZmV5kXZsvRnwCKWaFT-q5blhR0d1BEfuRZIALYrBQULGV35TP*Vs-A7Vd/photo.jpg?width=650)
MCHUNGAJI MBARONI KISA, RAMBIRAMBI ZA ASKOFU KULOLA
10 years ago
Michuzi04 Dec
semina kubwa ya neno la Mungu kutoka kwa DANIEL MOSES KULOLA -DALLAS TEXAS,
Daniel Kulola ni mtoto wa marehemu mzee Moses Kulola,mtumishi ambae ametoa mchango mkubwa sana wa injili katika Taifa letu kabla hajaenda kukaa na Bwana. Ili kuhakikisha kila mtu anapata nafasi ya kuhudhuria semina hii; kanisa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2xjDsWd1Ulk/Uw3nACVvonI/AAAAAAAAGxE/JrWbDTdRPnM/s72-c/written-budget.jpg)
Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)
![](http://4.bp.blogspot.com/-2xjDsWd1Ulk/Uw3nACVvonI/AAAAAAAAGxE/JrWbDTdRPnM/s1600/written-budget.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oXuSRhFkZKg/VgYmTxTna4I/AAAAAAAAU_8/bg4zJrFA94w/s72-c/1.jpg)
WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/MIRATHI-5-001.jpg?width=650)
MIRATHI NUSURA IMTOE ROHO!
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Sababu za kumuondoa msimamizi wa mirathi
LEO tutaangalia wajibu wa wasimamizi wa mirathi. Nitazungumzia juu ya usimamizi wa mirathi pamoja na mambo muhimu juu ya wanaonufaika na mirathi. Katika Mahakama za Mwanzo pamoja na zile mahakama ...