Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa yameguka Handeni, 115 wahamia CCM

Wanachama 115 wa Chadema na CUF wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, wamejiunga na CCM kwa madai kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeshindwa kuelewana hadi kipindi cha Uchaguzi Mkuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA ‘wahamia’ Bunge la Katiba

KATIKA hali inayoonekana kama kutaabishwa na wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, jana alichepuka kwa takribani dakika sita...

 

9 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WOTE WA CCM WA KATA YA MKOMAZI NA WAPIGA KURA 1,400 WA CCM WAHAMIA CHADEMA


Viongozi wote wa CCM wa kata ya mkomazi na pamoja na wapiga kura 1,400 wa eneo hilo wilayani Korogwe wamejiunga na CHADEMA huku baadhi yao wakiamua kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwa tiketi ya chama hicho.

Wakizungumza katika mkutano wa kampeni ulifanyika katika kijiji cha mikocheni kilichopo kata ya mkomazi wilayani Korogwe baadhi ya viongozi hao pamoja na wengine wa CCM katika kata sita waliokatwa majina yao katika zoezi la kura za maoni kwa tiketi ya CCM wamesema  wameamua kujiunga...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wahamia Iringa, Mungai aibuka na kumnadi mtoto wake

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema amechoshwa na manyanyaso wanayoendelea kuyapata wakulima hapa nchi kwa kukopwa mazao yao na kutozwa ushuru na serilkali bila ya wao kupata faida yoyote.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanachama CCM wahamia Chadema

Baadhi ya wanachama wa CCM akiwamo Mwenyekiti wa Kata ya Naisinyai wilayani Simanjiro, Mosses Makeseni wamejiunga na Chadema kwa madai kuwa chama tawala hakijaleta maendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Madiwani wawili Chadema wahamia CCM

Madiwani wawili wa Chadema kutoka Kata ya Ngokolo, Sebastian Peter na wa Kata ya Masekelo, Zacharia Mfuko zilizopo Shinyanga Mjini wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga CCM.

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya wanachama 900 wa CHADEMA wahamia CCM

Zaidi ya wanachama 900 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wengi wao wakiwa vijana wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika Jimbo la Sengerema mkoani Mwanza.

Maamuzi ya wanachama hao yametokana na kampeni za kunadi sera ya CCM zinazoendelea katika Jimbo hilo ambazo zinafanywa na mgombea ubunge na madiwani.

Mmoja kati ya vijana ambao wamekihama Chama cha CHADEMA na kujiunga na CCM, akielezea  sababu za kukihama chama hicho katika mkutano wa kampeni ambao...

 

9 years ago

Habarileo

Diwani CCM na wake zake wahamia ACT

MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea na diwani wa kata ya Gumbiro kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), Andrew Mhagama pamoja na wake zake wawili wamejiunga na Chama cha ACTWazalendo.

 

10 years ago

Vijimambo

WANACHAMA CHADEMA KALENGA MKOANI IRINGA WAHAMIA CCM

Wananchi wa Lyamgungwe wakiwa wameongozana na mbunge wake kwenda kutembelea miradi ya maendeleoMbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa kulia akipokea kadi ya CHADEMA kutoka kwa mmoja kati ya viongozi wa CHADEMA kata ya Lyamgungwe aliyehamia CCMMbunge Mgimwa akikagua miradi ya maendeleo jimboni kwakeKada wa CHADEMA (kulia) akipongezwa na mbunge Mgimwa baada ya kujiunga na CCMMbunge Mgimwa akizungumza na wananchi wake baada ya kupokea wana chama wa CHADEMA Picha na habari kwa hisani ya ...

 

10 years ago

Vijimambo

MWALIMU "AIBOMOA" CCM SINGIDA, WANACHAMA LUKUKI WAHAMIA CHADEMA

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu akiwalisha kiapo cha uzalendo wanachama wapya katika Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, Wilaya ya Singida Vijijini, mkoani Singida waliohama kutoka Chama Cha Mapinduzi, katika moja ya mikutano 'Operesheni Delete CCM', uliofanyika mwishoni mwa juma kijijini hapo.Wananchi wapatao 350 waliokuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, Wilaya ya Singida Vijijini, mkoani Singida wakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani