Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa wahamia Iringa, Mungai aibuka na kumnadi mtoto wake

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema amechoshwa na manyanyaso wanayoendelea kuyapata wakulima hapa nchi kwa kukopwa mazao yao na kutozwa ushuru na serilkali bila ya wao kupata faida yoyote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

CCM Iringa waanza kumnadi Mwakalebela

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimezindua kampeni za ubunge Jimbo la Iringa Mjini kwa kumnadi mgombea wake, Frederick Mwakalebela katika mkutano mkubwa uliofurika wananchi kwenye Uwanja wa Mwembetogwa mjini hapa.

 

9 years ago

Mtanzania

Mtoto wa Mungai aahidi neema Mafinga

OTH_1303Na Gustaph Haule, Mafinga

MGOMBEA Ubunge wa Chadema   Mafinga Mjini, William Mungai, amewaomba wananchi  kumchagua   aweze kuleta mabadiliko ya  maendeleo.

Alisema amejitosa kugombea nafasi hiyo kwa lengo la kuwaletea maendeleo wananchi katika sekta mbalimbali kwa kukabaliana na changamoto zilizopo ikiwamo afya, maji, viwanda, miundombinu, elimu   na kuimarisha uchumi kupitia taasisi za  benki.

Mtoto huyo wa Mungai alisema jimbo hilo limekuwa mstari wa mbele katika kuchangia mapato ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WANACHAMA CHADEMA KALENGA MKOANI IRINGA WAHAMIA CCM

Wananchi wa Lyamgungwe wakiwa wameongozana na mbunge wake kwenda kutembelea miradi ya maendeleoMbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa kulia akipokea kadi ya CHADEMA kutoka kwa mmoja kati ya viongozi wa CHADEMA kata ya Lyamgungwe aliyehamia CCMMbunge Mgimwa akikagua miradi ya maendeleo jimboni kwakeKada wa CHADEMA (kulia) akipongezwa na mbunge Mgimwa baada ya kujiunga na CCMMbunge Mgimwa akizungumza na wananchi wake baada ya kupokea wana chama wa CHADEMA Picha na habari kwa hisani ya ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA ‘wahamia’ Bunge la Katiba

KATIKA hali inayoonekana kama kutaabishwa na wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, jana alichepuka kwa takribani dakika sita...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa yameguka Handeni, 115 wahamia CCM

Wanachama 115 wa Chadema na CUF wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, wamejiunga na CCM kwa madai kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeshindwa kuelewana hadi kipindi cha Uchaguzi Mkuu.

 

9 years ago

Habarileo

Diwani CCM na wake zake wahamia ACT

MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea na diwani wa kata ya Gumbiro kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), Andrew Mhagama pamoja na wake zake wawili wamejiunga na Chama cha ACTWazalendo.

 

9 years ago

GPL

MPASUKO MKUBWA CHADEMA LUDEWA, WANACHAMA WAKE WAHAMIA ACT

Baadhi ya wanachama wa Chadema wilayani Ludewa wakiwa na mabango wakati wa maanadamano leo. WANACHAMA zaidi ya 500 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilayani Ludewa Mkoani Njombe wamekihama chama hicho na kujiunga na chama cha ACT Wazalendo wakipinga hatua ya uongozi wa juu wa chama hicho kukata jina la mshindi wa kwanza wa kura za maoni Bw. Ocol Haule na kumteua aliyekuwa mshindi… ...

 

9 years ago

Vijimambo

CHADEMA YASAMBARATIKA LUDEWA BAADA YA WANACHAMA WAKE ZAIDI YA 500 WAHAMIA ACT - WAZALENDO

Wanachama  wa Chadema wilaya ya  Ludewa  mkoa wa  Njombe  wakiandamana  kupinga  maamuzi ya  chama  hicho  kukata  jina la mshindi  wa  kura  za maoni na  kumteua  aliyeshindwa ,mbali ya  kuandamana  pia  wanachama  hao  zaidi ya  500  walikihama  chama  hicho na  kujiunga na  ACT  WazalendoWanachama  wa  Chadema  waliohamia ACT wazalendo  wakiwa na  mabango ya  kukituhumu  chama   hicho  kwa  kukiuka  DemokrasiaWanachadema  wakiwa  nje ya  ofisi ya  ACT  Wazalendo  ambako  walifika  kuomba ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani