Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto wa Mungai aahidi neema Mafinga

OTH_1303Na Gustaph Haule, Mafinga

MGOMBEA Ubunge wa Chadema   Mafinga Mjini, William Mungai, amewaomba wananchi  kumchagua   aweze kuleta mabadiliko ya  maendeleo.

Alisema amejitosa kugombea nafasi hiyo kwa lengo la kuwaletea maendeleo wananchi katika sekta mbalimbali kwa kukabaliana na changamoto zilizopo ikiwamo afya, maji, viwanda, miundombinu, elimu   na kuimarisha uchumi kupitia taasisi za  benki.

Mtoto huyo wa Mungai alisema jimbo hilo limekuwa mstari wa mbele katika kuchangia mapato ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI

wananchi wa Mafinga mjini wakimpokea mwenyekiti wa chama cha CCM mkoa wa Iringa jana mjini mafinga           MATUKIO KATIKA PICHA (picha: Baraka Nyagenda)wananchi  wa jimbo la Mafinga  wakifurahia mkutano mjumbe wa  NEC Marcelina Mkini akimnadi mgombea  ubunge Bw Chumi 
 KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wahamia Iringa, Mungai aibuka na kumnadi mtoto wake

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema amechoshwa na manyanyaso wanayoendelea kuyapata wakulima hapa nchi kwa kukopwa mazao yao na kutozwa ushuru na serilkali bila ya wao kupata faida yoyote.

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo aahidi neema

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewatoa hofu nyota wake kwa kuwaahidi kupigania masilahi mazuri kwa kila mmoja, wakati wachezaji hao wakisotea mishahara yao ya mwezi uliopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgombea CUF aahidi neema Ubena

MGOMBEA ubunge  wa Chalinze kwa  tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Fabian Skauki, amewaomba wananchi  wa Kata ya Ubena kumchagua ili aweze kuwaletea maendeleo. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Shein aahidi neema kwa wafanyabiashara

IMG_5897Na Esther Mbussi, Zanzibar

MGOMBEA urais wa Zanzibar, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohamed Shein amesema maendeleo kwa wafanyabiashara wadogo visiwani humo ni lazima.

Kutokana na hali hiyo, ameahidi kuwajengea eneo la maonyesho ya biashara ili kuwavutia wafanyabiashara wa nje.

Akizungumza katika viwanja vya Urafiki, Jimbo la Sahurimoyo mjini Unguja juzi, Dk. Shein alisema mradi huo licha ya kuwavutia wafanyabiashara, utawasaidia kutangaza biashara zao.

“Wafanyabiashara...

 

9 years ago

Habarileo

Maxime aahidi neema zaidi Mtibwa

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime amesema ana matarajio makubwa ya kuendelea kushinda mechi nyingine za Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AAHIDI NEEMA KWA WANABUKOBA

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk. Jonh Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba, mkoani Kagera jana. Chege na Temba wakiwaburudisha wakazi wa Bukoba wakati wa mkutano huo. Wakazi wa Bukoba wakimsikiliza kwa makini Dk. Magufuli.…

 

9 years ago

Habarileo

Samia aahidi neema kwa walima korosho

ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa awamu ya tano ya Serikali, imejipanga kuweka bei nzuri na ya uhakika kwa wakulima wa korosho na ufuta nchini. Hayo yalisemwa mjini hapa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgombea udiwani CHADEMA aahidi neema Magomeni

MGOMBEA udiwani wa Kata ya Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo, Pwani ameahidi kuwaondolea kero za kijamii zinazowakabili wakazi wa eneo hilo ili kujenga jamii isiyo na manung’uniko. Akizungumza na wananchi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani