Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Burundi yakumbwa na mgogoro mzito wa kisiasa

>Burundi imetumbukia kwenye mgogoro mkubwa wa kisiasa, baada ya mawaziri watatu wa chama cha Uprona chenye wafuasi wengi kutoka kabila la Watutsi kujiuzulu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mgogoro mzito wa ushuru

Kampuni ya Barrack Printers inayokusanya ushuru wa maegesho katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, imeingia katika mgogoro na baadhi ya madiwani na wamiliki wa magari.

 

11 years ago

GPL

MGOGORO MZITO MIRATHI YA KULOLA

Stori: Waandishi Wetu
HALI ni tete! Familia ya aliyekuwa muasisi wa imani ya kilokole nchini na Askofu wa Kanisa la Evangelist Assembles of God Tanzania (EAGT), marehemu Dk. Moses Samuel Kulola (83), inadaiwa kuingia kwenye mgogoro mzito wa usimamizi wa mirathi ya mali alizoziacha kiongozi huyo. Marehemu Dk. Moses Samuel Kulola. CHANZO?
Ilidaiwa kuwa gogoro hilo limekuja baada ya mtu mmoja kuibuka na kudai yeye ndiye…...

 

9 years ago

StarTV

Hali Ya Kisiasa Burundi  Serikali ya Burundi yakubali usuluhishi

 

Rais John Magufuli amefanya mazungumzo na Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Reverien Ndikuriyo Ikulu jijini Dar es Salaam kuhusu hali ya kisiasa na usalama nchini Burundi na jitihada zinazochukuliwa na Tanzania ikiwa ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Akiwasilisha ujumbe wa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kuhusu hali ya Burundi, Spika Ndikuriyo amesema Serikali ya Burundi ipo tayari kufanya mazungumzo na wadau wote wa siasa kuhusu hali ya nchi hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

PINDA: VIONGOZI WA MKOA TUMIENI BUSARA KUMALIZA MGOGORO WA KISIASA KAGERA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa mkoa wa Kagera ukae na kuzungumza ili kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa katika Manispaa ya Bukoba kwa manufaa ya wananchi. 
Ametoa wito huo jana usiku (Jumamosi, Oktoba 5, 2014) wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa Serikali wa mkoa huo mara baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo iliyowasilishwa kwake na Mkuu wa Mkoa huo, Kanali (Mst) Fabian Massawe.
Waziri Mkuu aliwasili Bukoba jana jioni akitokea Dodoma ili kumwakilisha Rais Jakaya...

 

11 years ago

BBCSwahili

UN yalaani mvutano wa kisiasa Burundi

UN na EU zimeelezea wasiwasi kuhusu mvutano wa kisiasa unaozidi kutokota kati ya serikali na vyama vya upinzani nchini Burundi.

 

10 years ago

Vijimambo

MFUNGWA WA KISIASA BURUNDI ATOWEKA GEREZANI



Hauhitaji Media PlayerPata usaidizi kuhusu Media PlayerBonyeza 'Enter' kuendelea au kurejea mwanzoniMfungwa wa kisiasa Burundi atoweka gerezani
Aliyekuwa mwenyekiti wa chama tawala Nchini Burundi Hussein Rajabu ameripotiwa kutoroka jela.Hussein Rajabu ambaye alikuwa mwanasiasa mashuhuri nchini humo alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela, mwaka 2007.Rajabu alikuwa anakabiliwa na kosa la hatia ya uhaini dhidi ya serikali kwa kutaka kuzusha vurugu nchini humo.Raia wengi wameonyesha wasiwasi wao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mfungwa wa kisiasa Burundi atoweka gerezani

Aliyekuwa mwenyekiti wa chama tawala nchini Burundi Hussein Rajabu ameripotiwa kutoroka jela.

 

10 years ago

Michuzi

BAN KI MOON ATIWA MOYO NA MAZUNGUMZO YA KISIASA BURUNDI


Na Mwandishi Maalum, New York

Wakati hali  ya kisiasa na kiusalama ikiendelea kuwa ya sintofahamu Nchini Burundi, Katibu  Mkuu wa Umoja wa  Mataifa, Ban  Ki Moon (pichani), ameelezea kutiwa moyo na juhudi mbambali zinazolenga kurejesha hali ya amani na usalama nchi humo .

Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu,  siku ya Ijumaa hapa Umoja wa Mataifa,  imesema,  katibu Mkuu anatiwa  moyo na juhudi zinazofanywa na makundi mbalimbali  ya kikanda, ya kidini,  ya kijamii,  vyama vya siasa ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mgogoro wa Burundi, Tanzania yazungumza

Muungano wa Afrika, AU, umetangaza kwamba umejiandaa kuwatuma zaidi ya wanajeshi 5,000 wa kudumisha amani nchini Burundi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani