UN yalaani mvutano wa kisiasa Burundi
UN na EU zimeelezea wasiwasi kuhusu mvutano wa kisiasa unaozidi kutokota kati ya serikali na vyama vya upinzani nchini Burundi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Jun
MVUTANO KISIASA: Wawapinga Ukawa
9 years ago
StarTV23 Dec
Hali Ya Kisiasa Burundi  Serikali ya Burundi yakubali usuluhishi
Rais John Magufuli amefanya mazungumzo na Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Reverien Ndikuriyo Ikulu jijini Dar es Salaam kuhusu hali ya kisiasa na usalama nchini Burundi na jitihada zinazochukuliwa na Tanzania ikiwa ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Akiwasilisha ujumbe wa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kuhusu hali ya Burundi, Spika Ndikuriyo amesema Serikali ya Burundi ipo tayari kufanya mazungumzo na wadau wote wa siasa kuhusu hali ya nchi hiyo...
9 years ago
BBCSwahili13 Nov
UN yalaani mauaji Burundi
10 years ago
Habarileo14 May
EAC yalaani jaribio mapinduzi Burundi
WAKUU wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamelaani jaribio la mapinduzi ya kumng’oa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na kutaka Katiba ya nchi hiyo ifuatwe ili kudumisha amani na utulivu nchini humo.
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Burundi yakumbwa na mgogoro mzito wa kisiasa
10 years ago
Vijimambo02 Mar
MFUNGWA WA KISIASA BURUNDI ATOWEKA GEREZANI
Hauhitaji Media PlayerPata usaidizi kuhusu Media PlayerBonyeza 'Enter' kuendelea au kurejea mwanzoniMfungwa wa kisiasa Burundi atoweka gerezani
Aliyekuwa mwenyekiti wa chama tawala Nchini Burundi Hussein Rajabu ameripotiwa kutoroka jela.Hussein Rajabu ambaye alikuwa mwanasiasa mashuhuri nchini humo alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela, mwaka 2007.Rajabu alikuwa anakabiliwa na kosa la hatia ya uhaini dhidi ya serikali kwa kutaka kuzusha vurugu nchini humo.Raia wengi wameonyesha wasiwasi wao...
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
Mfungwa wa kisiasa Burundi atoweka gerezani
10 years ago
MichuziBAN KI MOON ATIWA MOYO NA MAZUNGUMZO YA KISIASA BURUNDI
Na Mwandishi Maalum, New YorkWakati hali ya kisiasa na kiusalama ikiendelea kuwa ya sintofahamu Nchini Burundi, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon (pichani), ameelezea kutiwa moyo na juhudi mbambali zinazolenga kurejesha hali ya amani na usalama nchi humo .Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu, siku ya Ijumaa hapa Umoja wa Mataifa, imesema, katibu Mkuu anatiwa moyo na juhudi zinazofanywa na makundi mbalimbali ya kikanda, ya kidini, ya kijamii, vyama vya siasa ...
11 years ago
Uhuru NewspaperMVUTANO BAJETI
Kamati ya Bunge yasema serikali haitaki kusikiliza ushauri Yadaiwa haiumizi kichwa kusaka vyanzo vingine vya mapato Yabanwa na kutakiwa kurejesha mikopo ya mifuko ya hifadhi
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
UCHAMBUZI wa bajeti ya Serikali ya mwaka 2014/2015 uneonyesha kuwa mzigo wa matumizi ni mkubwa ikilinganishwa na vyanzo vya mapato.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge, Andrew Chenge, alipokua akiwasilisha taarifa ya kamati yake bungeni.
Chenge alisema...