Hali Ya Kisiasa Burundi  Serikali ya Burundi yakubali usuluhishi
Rais John Magufuli amefanya mazungumzo na Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Reverien Ndikuriyo Ikulu jijini Dar es Salaam kuhusu hali ya kisiasa na usalama nchini Burundi na jitihada zinazochukuliwa na Tanzania ikiwa ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Akiwasilisha ujumbe wa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kuhusu hali ya Burundi, Spika Ndikuriyo amesema Serikali ya Burundi ipo tayari kufanya mazungumzo na wadau wote wa siasa kuhusu hali ya nchi hiyo...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
Rais Mseveni na usuluhishi wa Burundi
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
UN yalaani mvutano wa kisiasa Burundi
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Burundi yakumbwa na mgogoro mzito wa kisiasa
10 years ago
Vijimambo02 Mar
MFUNGWA WA KISIASA BURUNDI ATOWEKA GEREZANI
Hauhitaji Media PlayerPata usaidizi kuhusu Media PlayerBonyeza 'Enter' kuendelea au kurejea mwanzoni

Aliyekuwa mwenyekiti wa chama tawala Nchini Burundi Hussein Rajabu ameripotiwa kutoroka jela.Hussein Rajabu ambaye alikuwa mwanasiasa mashuhuri nchini humo alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela, mwaka 2007.Rajabu alikuwa anakabiliwa na kosa la hatia ya uhaini dhidi ya serikali kwa kutaka kuzusha vurugu nchini humo.Raia wengi wameonyesha wasiwasi wao...
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
Mfungwa wa kisiasa Burundi atoweka gerezani
10 years ago
Michuzi
BAN KI MOON ATIWA MOYO NA MAZUNGUMZO YA KISIASA BURUNDI

Na Mwandishi Maalum, New YorkWakati hali ya kisiasa na kiusalama ikiendelea kuwa ya sintofahamu Nchini Burundi, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon (pichani), ameelezea kutiwa moyo na juhudi mbambali zinazolenga kurejesha hali ya amani na usalama nchi humo .Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu, siku ya Ijumaa hapa Umoja wa Mataifa, imesema, katibu Mkuu anatiwa moyo na juhudi zinazofanywa na makundi mbalimbali ya kikanda, ya kidini, ya kijamii, vyama vya siasa ...
10 years ago
Mtanzania14 May
HALI TETE BURUNDI
Waandishi Wetu, Bujumbura na Dar
JARIBIO la mapinduzi lilifanyika jana nchini Burundi kumpindua Rais Pierre Nkurunzinza kupinga mpango wake wa kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Maelfu ya watu walimiminika katika mitaa ya mji mkuu wa taifa hilo, Bujumbura, kushangilia tangazo la mapinduzi lililotolewa na Meja Jenerali Godefroid Niyombare.
Hata hivyo, matokeo ya mapinduzi hayo yalikuwa mbali na uhalisia.
Uamuzi wa Jenerali Niyombareh ambaye alitimuliwa na Nkurunzinza kama mkuu wa usalama...
10 years ago
BBCSwahili17 May
Hali bado ni tete Burundi