Hali bado ni tete Burundi
Polisi waaminifu kwa rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza wanaendelea na misako dhidi ya watu wanoshukiwa kuwa ''wasaliti''
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
STRABAG BADO HALI TETE
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Hali bado tete mjini Mandera
11 years ago
GPL
BADO HALI NI TETE KWA PISTORIOUS
11 years ago
BBCSwahili30 Sep
Hong Kong bado hali tete
10 years ago
Mtanzania14 May
HALI TETE BURUNDI
Waandishi Wetu, Bujumbura na Dar
JARIBIO la mapinduzi lilifanyika jana nchini Burundi kumpindua Rais Pierre Nkurunzinza kupinga mpango wake wa kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Maelfu ya watu walimiminika katika mitaa ya mji mkuu wa taifa hilo, Bujumbura, kushangilia tangazo la mapinduzi lililotolewa na Meja Jenerali Godefroid Niyombare.
Hata hivyo, matokeo ya mapinduzi hayo yalikuwa mbali na uhalisia.
Uamuzi wa Jenerali Niyombareh ambaye alitimuliwa na Nkurunzinza kama mkuu wa usalama...
10 years ago
Mwananchi15 May
Hakijaeleweka, Burundi bado tete
11 years ago
GPL
NDEGE INAYOHOFIWA KUZAMA BAHARINI, HALI BADO TETE
10 years ago
Mtanzania29 Apr
Hali yazidi kuwa tete Burundi
BUJUMBURA, BURUNDI
MAANDAMANO yameendelea kwa siku ya tatu jana kwenye mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kupinga uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Watu sita wanadaiwa kuuawa na zaidi ya 24,000 kuikimbia Burundi mwezi huu wakiwamo 5,000 walioingia Rwanda mwishoni mwa wiki iliyopita huku hali tete ikiongezeka kuelekea uchaguzi wa urais utakaofanyika Juni.
Watu walionekana wakichoma moto magurudumu ya magari na kuweka vizuizi barabarani huku polisi wakirusha mabomu...