Hali yazidi kuwa tete Burundi
BUJUMBURA, BURUNDI
MAANDAMANO yameendelea kwa siku ya tatu jana kwenye mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kupinga uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Watu sita wanadaiwa kuuawa na zaidi ya 24,000 kuikimbia Burundi mwezi huu wakiwamo 5,000 walioingia Rwanda mwishoni mwa wiki iliyopita huku hali tete ikiongezeka kuelekea uchaguzi wa urais utakaofanyika Juni.
Watu walionekana wakichoma moto magurudumu ya magari na kuweka vizuizi barabarani huku polisi wakirusha mabomu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 May
Hali ya Burundi yazidi kuwa tete
HALI ya Burundi imezidi kuwa tete huku makundi mawili hasimu ya wanajeshi, yamekuwa yakipigana, kila moja likitaka kutawala jiji la Bujumbura.
10 years ago
Mtanzania14 May
HALI TETE BURUNDI
Waandishi Wetu, Bujumbura na Dar
JARIBIO la mapinduzi lilifanyika jana nchini Burundi kumpindua Rais Pierre Nkurunzinza kupinga mpango wake wa kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Maelfu ya watu walimiminika katika mitaa ya mji mkuu wa taifa hilo, Bujumbura, kushangilia tangazo la mapinduzi lililotolewa na Meja Jenerali Godefroid Niyombare.
Hata hivyo, matokeo ya mapinduzi hayo yalikuwa mbali na uhalisia.
Uamuzi wa Jenerali Niyombareh ambaye alitimuliwa na Nkurunzinza kama mkuu wa usalama...
10 years ago
BBCSwahili17 May
Hali bado ni tete Burundi
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Hali ya Mbunge Kiwia yazidi kuwa mbaya
HALI ya Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia (CHADEMA), imeelezwa kuwa mbaya kutokana na kushindwa kupumua kwa kutumia pua na badala yake anatumia mdomo kitendo ambacho ni hatari. Taarifa hiyo imetolewa...
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
hali tete TanzaniteOne -2
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene mwishoni mwa wiki (Ijumaa iliyopita) alifanya zi
Paul Sarwatt
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Hali tete TanzaniteOne
HALI ya mambo si shwari ndani ya kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite ya TanzaniteOne, iliyo
Paul Sarwatt
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Hali tete Msimbazi
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Hali tete Zanzibar
Na Is-haka Omar, Zanzibar
HALI ya usalama visiwani Zanzibar imechafuka baada ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), kuvamiwa na kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kutokana na vurugu hizo, watu 25 waliokuwa wakitokea katika mkutano wa CUF uliokuwa unafanyika Makunduchi, Wilaya ya Kusini Unguja wamejeruhiwa, huku wanne kati yao wakilazimika kuhamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio...