Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HALI TETE BURUNDI

Rais wa Burundiwananchi wa BurundiWaandishi Wetu, Bujumbura na Dar
JARIBIO la mapinduzi lilifanyika jana nchini Burundi kumpindua Rais Pierre Nkurunzinza kupinga mpango wake wa kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Maelfu ya watu walimiminika katika mitaa ya mji mkuu wa taifa hilo, Bujumbura, kushangilia tangazo la mapinduzi lililotolewa na Meja Jenerali Godefroid Niyombare.
Hata hivyo, matokeo ya mapinduzi hayo yalikuwa mbali na uhalisia.
Uamuzi wa Jenerali Niyombareh ambaye alitimuliwa na Nkurunzinza kama mkuu wa usalama...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Hali bado ni tete Burundi

Polisi waaminifu kwa rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza wanaendelea na misako dhidi ya watu wanoshukiwa kuwa ''wasaliti''

 

10 years ago

Mtanzania

Hali yazidi kuwa tete Burundi

BUJUMBURA, BURUNDI
MAANDAMANO yameendelea kwa siku ya tatu jana kwenye mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kupinga uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Watu sita wanadaiwa kuuawa na zaidi ya 24,000 kuikimbia Burundi mwezi huu wakiwamo 5,000 walioingia Rwanda mwishoni mwa wiki iliyopita huku hali tete ikiongezeka kuelekea uchaguzi wa urais utakaofanyika Juni.
Watu walionekana wakichoma moto magurudumu ya magari na kuweka vizuizi barabarani huku polisi wakirusha mabomu...

 

10 years ago

Habarileo

Hali ya Burundi yazidi kuwa tete

Hali ilivyokuwa katika sehemu ya mji mkuu wa Bujumbura nchini Burundi jana. (Picha na AFP).HALI ya Burundi imezidi kuwa tete huku makundi mawili hasimu ya wanajeshi, yamekuwa yakipigana, kila moja likitaka kutawala jiji la Bujumbura.

 

9 years ago

Raia Mwema

hali tete TanzaniteOne -2

WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene mwishoni mwa wiki (Ijumaa iliyopita) alifanya zi

Paul Sarwatt

 

10 years ago

Raia Mwema

Hali tete TanzaniteOne

HALI ya mambo si shwari ndani ya kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite ya TanzaniteOne, iliyo

Paul Sarwatt

 

10 years ago

Mtanzania

Hali tete Zanzibar

1234Na Is-haka Omar, Zanzibar
HALI ya usalama visiwani Zanzibar imechafuka baada ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), kuvamiwa na kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kutokana na vurugu hizo, watu 25 waliokuwa wakitokea katika mkutano wa CUF uliokuwa unafanyika Makunduchi, Wilaya ya Kusini Unguja wamejeruhiwa, huku wanne kati yao wakilazimika kuhamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio...

 

10 years ago

Mwananchi

Hali tete Msimbazi

Uongozi wa Klabu ya Simba umeingia katika mgogoro wa kisheria na wachezaji wake 10 baada ya kuvunja mikataba yao na kuwapa barua ili wasajiliwe na timu nyingine msimu ujao.

 

9 years ago

GPL

MCHEZAJI WA YANGA HALI TETE

Mwandishi wetu INATISHA! Hali ya mchezaji wa zamani wa Yanga, Nsa Job ni tete inayohitaji maombi katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi kufuatia kupigwa jiwe kichwani katika vurugu za uchaguzi mkuu zinazoendelea katika kampeni zinazofanyika Moshi Mjini, Ijumaa linakuhabarisha.  ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1NXfQ9I

 

11 years ago

GPL

STRABAG BADO HALI TETE

Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRATBAG’ wakiwa katika mgomo. HALI bado si shwari katika kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRABAG’ iliyopo maeneo ya Ubungo jijini Dar, ambapo asubuhi hii Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wametanda eneo la ofisi hizo na hakuna mfanyakazi yeyote wa kawaida anayeruhusiwa kuingia ndani. Mgomo huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani