Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN yalaani mauaji Burundi

Baraza la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio kulaani mauaji nchini Burundi na kutaka kupelekwa kwa kikosi cha kulinda amani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yalaani mauaji ya mwandishi

Rais Barack Obama wa Marekani amesema mauaji ya mwandishi wa habari James Foley yameishtua dunia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jordan yalaani mauaji ya Mwandishi

Mfalme Abdullah wa Jordan ameyalaani mauaji ya Mwandishi wa Habari wa Jjapan yaliyofanywa na wapiganaji wa kundi la Islamic State.

 

10 years ago

Habarileo

THBUB yalaani mauaji ya polisi

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imelaani mauaji yaliyofanywa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi, katika kituo cha Polisi Stakishari, Dar es Salaam juzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

ATME yalaani mauaji ya mtoto Muleba

CHAMA cha Watabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), wamelaani kitendo cha mganga wa kienyeji Mujingwa John kumuua kikatili mtoto Fausta Geofrey (8) mkazi wa Wilaya ya Muleba kwa imani za...

 

11 years ago

Habarileo

UTSS yalaani mauaji ya albino Simiyu

SHIRIKA linalotetea haki za watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) la Under The Same Sun (UTSS), limelaani vikali mauaji ya kikatili yaliyotokea mkoani Simiyu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yalaani mauaji Sudan Kusini

Ikulu ya White House imeelezea kushangazwa na mauaji ya kinyama ya mamia ya raia Sudan Kusini na kutoa wito wa kusitishwa kwa vurugu zinazoendelea nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

UN yalaani mvutano wa kisiasa Burundi

UN na EU zimeelezea wasiwasi kuhusu mvutano wa kisiasa unaozidi kutokota kati ya serikali na vyama vya upinzani nchini Burundi.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yalaani mauaji ya wafugaji na wakulima yanayoendelea nchini

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimelaani mauaji ya wakulima na wafugaji yanayoendelea kutokea katika wilaya za Kiteto na Kongwa na kutaka Serikali ichukue hatua za haraka kukomesha mauaji hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani