Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani yalaani mauaji Sudan Kusini

Ikulu ya White House imeelezea kushangazwa na mauaji ya kinyama ya mamia ya raia Sudan Kusini na kutoa wito wa kusitishwa kwa vurugu zinazoendelea nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yalaani mauaji ya mwandishi

Rais Barack Obama wa Marekani amesema mauaji ya mwandishi wa habari James Foley yameishtua dunia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi wa Sudan Kusini wakana mauaji

Waasi nchini Sudan Kusini wamekanusha madai yaliyotolewa na Umoja wa Mataifa kuwa waliwaua raia mjini Bentiu kwa misingi ya ukabila.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mauaji makubwa yaripotiwa Sudan Kusini

Mauaji makubwa ya kikabila yameripotiwa kutokea nchini Sudan Kusini katika wiki moja ya mapigano.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini:Mauaji ya kikabila Bentiu

Umoja wa Mataifa unasema kuwa vikosi vinavyopinga serikali nchini Sudan Kusini viliwaua mamia ya watu kwa misingi ya ukabila vilipouteka mji wa Bentiu wiki jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Mauaji Sudan Kusini UN wakaa kikao cha dharura

>Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limefanya kikao cha dharura kuhusu Sudan Kusini, baada ya wanajeshi wa Umoja huo kuuawa katika ghasi nchini humo.

 

10 years ago

Vijimambo

MAREKANI YAIONYA SUDAN YA KUSINI

Marekani yaonya kuwa itachukua hatua kali dhidi ya pande zoteMarekani imeonya kuwa itachukua hatua dhidi ya pande mbili zinazopigana nchini Sudan Kusini iwapo hazitaafikia makubaliano ya amani kufikia alhamisi wiki hii.

Waziri wa masuala ya nchi za kigeni wa Marekani John Kerry ameonya kuwa mapigano ni lazima yamalizike mara moja.

Ameyasema hayo huku Rais Salva Kiir akiwasili jijini Addis Ababa kwa mazungumzo ya moja kwa moja na kiongozi wa Waasi Dkt Riek Machar, baada ya kukosa kuhudhuria...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani kutuma mjumbe Sudan Kusini

Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani John Kerry amesema atatuma mjumbe maalum nchini Sudan Kusini Bwana Donald Booth.

 

9 years ago

BBCSwahili

UN yalaani mauaji Burundi

Baraza la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio kulaani mauaji nchini Burundi na kutaka kupelekwa kwa kikosi cha kulinda amani.

 

10 years ago

Habarileo

THBUB yalaani mauaji ya polisi

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imelaani mauaji yaliyofanywa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi, katika kituo cha Polisi Stakishari, Dar es Salaam juzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani