Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAREKANI YAIONYA SUDAN YA KUSINI

Marekani yaonya kuwa itachukua hatua kali dhidi ya pande zoteMarekani imeonya kuwa itachukua hatua dhidi ya pande mbili zinazopigana nchini Sudan Kusini iwapo hazitaafikia makubaliano ya amani kufikia alhamisi wiki hii.

Waziri wa masuala ya nchi za kigeni wa Marekani John Kerry ameonya kuwa mapigano ni lazima yamalizike mara moja.

Ameyasema hayo huku Rais Salva Kiir akiwasili jijini Addis Ababa kwa mazungumzo ya moja kwa moja na kiongozi wa Waasi Dkt Riek Machar, baada ya kukosa kuhudhuria...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yalaani mauaji Sudan Kusini

Ikulu ya White House imeelezea kushangazwa na mauaji ya kinyama ya mamia ya raia Sudan Kusini na kutoa wito wa kusitishwa kwa vurugu zinazoendelea nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani kutuma mjumbe Sudan Kusini

Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani John Kerry amesema atatuma mjumbe maalum nchini Sudan Kusini Bwana Donald Booth.

 

10 years ago

BBCSwahili

Korea Kazkazini yaionya Marekani

Korea kazkazini imeonya kuwa vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani dhidi yake ni kitendo cha uadui ambacho hakitafanikiwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yaionya Urusi kuhusu Ukraine.

Marekani imeonyesha wasiwasi wake kuhusu kile ilichokitaja kama hatua ya Urusi kuchochea ghasia mashariki mwa Ukrain.

 

10 years ago

BBCSwahili

Korea kazkazini sasa yaionya Marekani

Korea kazkazini sasa inataka uchunguzi wa pamoja na Marekani kufanywa kuhusu wizi wa mtandaoni

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: China yaionya Marekani dhidi ya kusababisha vita baridi

Waziri wa masuala ya kigeni nchini China ameishutumu Marekani kwa kueneza dhana potofu na uongo kuhusu virusi vya corona hatua inayozua hofu kati ya mataifa hayo mawili.

 

10 years ago

Vijimambo

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) ulitiwa saini usiku wa jana, Jumatano, Januari 21, 2015, katika sherehe ya kufana iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Ngurdoto, Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha.

Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...

 

10 years ago

Michuzi

Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza utiaji wa saini. Kutoka kulia ni  Mhe. Salva Kiir Mayardit  Rais wa Sudan Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa SPLM na anayeongoza kundi linalojulikana kama SPLM in Government (SPLM-IG), Mhe Dkt. Riek Machar ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa SPLM na pia aliyekuwa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini anayeongoza kundi la SPLM in Opposition (SPLM-IO) na Dkt. Deng Alor Kuol ambaye anaongoza kundi la SPLM Leaders- Former Detainees (SPLM Leaders – FD). Nyuma yao ni...

 

10 years ago

GPL

Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) jijini Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati  Rais Salva
Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani
wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na
kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa  makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani