Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sudan Kusini:Mauaji ya kikabila Bentiu

Umoja wa Mataifa unasema kuwa vikosi vinavyopinga serikali nchini Sudan Kusini viliwaua mamia ya watu kwa misingi ya ukabila vilipouteka mji wa Bentiu wiki jana.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

MSF:Kambi ya Bentiu Sudan Kusini haifai

MSF yasema takriban wakimbizi elfu arubaini wanaishi katika mazingira mabaya ndani ya kambi ya umoja wa mataifa Sudan Kusini.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mauaji makubwa yaripotiwa Sudan Kusini

Mauaji makubwa ya kikabila yameripotiwa kutokea nchini Sudan Kusini katika wiki moja ya mapigano.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yalaani mauaji Sudan Kusini

Ikulu ya White House imeelezea kushangazwa na mauaji ya kinyama ya mamia ya raia Sudan Kusini na kutoa wito wa kusitishwa kwa vurugu zinazoendelea nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi wa Sudan Kusini wakana mauaji

Waasi nchini Sudan Kusini wamekanusha madai yaliyotolewa na Umoja wa Mataifa kuwa waliwaua raia mjini Bentiu kwa misingi ya ukabila.

 

11 years ago

Mwananchi

Mauaji Sudan Kusini UN wakaa kikao cha dharura

>Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limefanya kikao cha dharura kuhusu Sudan Kusini, baada ya wanajeshi wa Umoja huo kuuawa katika ghasi nchini humo.

 

11 years ago

BBC

S Sudan forces in Bentiu offensive

Government forces in South Sudan advance on the oil town of Bentiu, which was captured by rebels last month.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa S.Kusini wakomboa Bentiu

Taarifa kutoka Sudan Kusini zasema kuwa wanajeshi wa taifa hilo wameukomboa mji wa Bentiu kutoka kwa waasi watiifu kwa Riek Machar.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jeshi S.Kusini mbioni kudhibiti Bentiu

Jeshi la Sudan Kusini linasema kuwa linakaribia kuutwaa mji wa Bentiu ambao mwezi jana ulitekwa na waasi wanaomuunga mkono aliyekuwa makamu wa Rais Riek Machar.

 

11 years ago

BBC

VIDEO: South Sudan troops seize Bentiu

Government forces appear to have taken control of the rebel-held town of Bentiu after opening fire on the enemy positions.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani