Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MVUTANO KISIASA: Wawapinga Ukawa

>Vyama vya siasa vya National Reconstruction Alliance (NRA) na Chama cha Kijamii (CCK) vimeutaka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurudi bungeni kuendelea na mchakato wa Katiba mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

UN yalaani mvutano wa kisiasa Burundi

UN na EU zimeelezea wasiwasi kuhusu mvutano wa kisiasa unaozidi kutokota kati ya serikali na vyama vya upinzani nchini Burundi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa kujadili mvutano wa majimbo Ijumaa

Viongozi wa ngazi za juu wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) watakutana Ijumaa wiki hii kutafuta mwafaka katika mvutano uliopo katika majimbo 19 ya uchaguzi, yakiwamo manne ya Dar es Salaam, Mwananchi limedokezwa.

 

11 years ago

Habarileo

'Ukawa hawajakomaa kisiasa'

IMEELEZWA kuwa kitendo cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuendelea kugoma kurudi bungeni ni dalili za wazi za kukosa ukomavu wa kisiasa.

 

11 years ago

GPL

BARAZA KIVULI LA UKAWA HALINA MASHIKO KISIASA

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Alikael Mbowe. KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Alikael Mbowe ametangaza baraza lake kivuli, kufuatia ahadi yake ya hivi karibuni kuwa atalivunja lile la awali, lililokuwa likiundwa na wabunge kutoka Chadema pekee, ili sasa awajumuishe na wabunge wa vyama vingine vya siasa kutoka upinzani. Baraza hilo jipya limetangazwa likiwa na mawaziri vivuli kutoka...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

MVUTANO BAJETI



 Kamati ya Bunge yasema serikali haitaki kusikiliza ushauri  Yadaiwa haiumizi kichwa kusaka vyanzo vingine vya mapato  Yabanwa na kutakiwa kurejesha mikopo ya mifuko ya hifadhi
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
UCHAMBUZI wa bajeti ya Serikali ya mwaka 2014/2015 uneonyesha kuwa mzigo wa matumizi ni mkubwa ikilinganishwa na vyanzo vya mapato.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge, Andrew Chenge, alipokua akiwasilisha taarifa ya kamati yake bungeni.
Chenge alisema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi Afrika na mvutano wa Madaraka

Siku ya demokrasia ya BBC inatoa tathimini kuhusu Viongozi wa Afrika na namna wanavyokiuka misingi ya Katiba

 

10 years ago

Mwananchi

Mvutano mkali wasubiriwa kesho

Wenyeviti wa Kamati za Bunge wametabiri mvutano mkali bungeni wakati wa kuwasilishwa kwa maoni ya kamati zote kuhusu Rasimu ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Soko la mitumba lazua mvutano

Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema) ameamua kujenga soko la kisasa eneo la Kiboriloni litakalokuwa na vibanda 200 na eneo la wazi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wa mitumba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani