BARAZA KIVULI LA UKAWA HALINA MASHIKO KISIASA

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Alikael Mbowe. KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Alikael Mbowe ametangaza baraza lake kivuli, kufuatia ahadi yake ya hivi karibuni kuwa atalivunja lile la awali, lililokuwa likiundwa na wabunge kutoka Chadema pekee, ili sasa awajumuishe na wabunge wa vyama vingine vya siasa kutoka upinzani. Baraza hilo jipya limetangazwa likiwa na mawaziri vivuli kutoka...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Baraza kivuli la UKAWA lapongezwa
SIKU moja baada ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, kutangaza Baraza la Mawaziri Kivuli lililobeba sura za wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), baadhi ya...
11 years ago
Michuzi19 May
11 years ago
Mwananchi07 May
Mbowe kutangaza Baraza Kivuli kesho
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Mbowe kuwateua Cuf, NCCR Baraza Kivuli
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Mbowe kuwateua CUF, NCCR-Mageuzi, Baraza la Kivuli
11 years ago
Mwananchi09 May
Baraza Kivuli ni leo, Mbatia, Kafulila, Mnyaa watajwa
11 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Kivuli cha UKAWA, Warioba bungeni
PAMOJA na Bunge Maalum la Katiba kumaliza kazi yake ya kuandika Katiba inayopendekezwa ambayo inatarajiwa kukabidhiwa kwa marais Jakaya Kikwete na Dk. Ali Mohamed Shein kesho, majina ya UKAWA na...
11 years ago
Habarileo09 Jul
'Ukawa hawajakomaa kisiasa'
IMEELEZWA kuwa kitendo cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuendelea kugoma kurudi bungeni ni dalili za wazi za kukosa ukomavu wa kisiasa.
11 years ago
Mwananchi23 Jun
MVUTANO KISIASA: Wawapinga Ukawa