Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe kuwateua CUF, NCCR-Mageuzi, Baraza la Kivuli

Mvutano katika mchakato wa Katiba umeimarisha ushirikiano wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi na sasa kuna mpango wa kuundwa upya kwa Baraza la Mawaziri Kivuli ambalo litawajumuisha wabunge wa vyama hivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mbowe kuwateua Cuf, NCCR Baraza Kivuli

>Mvutano katika mchakato wa Katiba umeimarisha ushirikiano wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi na sasa kuna mpango wa kuundwa upya kwa Baraza la Mawaziri Kivuli ambalo litawajumuisha wabunge wa vyama hivyo.

 

9 years ago

Vijimambo

HABARI24 TV--MGOGORO WA NCCR MAGEUZI-MBOWE


Mh MBOWE akizngumza na wahabari mapema leo Jijini Dar es salaamUmoja wa Katiba ya wananchi UKAWA leo umeitaka Tume ya taifa ya uchaguzi kutoa tamko kuhusu kauli iliyotoleawa na mmoja wa viongozi wa CCM kuwa chama hicho hakipo tayari kuondoka ikulu hata kama kitashindwa katika uchaguzi ujao mwaka huu.Kauli hiyo ilitolewa katika kampeni za Urais mkoani kigoma na mmoja kati ya viongozi wa chama hicho ndugu ABDALA BULEMBO ambapo alisema kuwa hakuna njia inayoweza kuwaondoa ikulu na chama cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe kutangaza Baraza Kivuli kesho

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kesho atatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri.

 

9 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI


Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Letcia Mosore (katikati)akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani)  juu  ya ukiukaji wa katiba ya chama hicho kumvua madaraka iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi NCCR-Mageuzi ,Hamlyn Erasto,Kushoto ni Kamishina Mkoa wa Ruvuma,Mchatta Mchatta.Baadhi ya waandishi wakiwa katika mkutano huo.

Na Chalila Kibuda

AALIYEKUWA  Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

VIDEO: Mh Mbowe Ajibu Malalamiko ya Viongozi wa NCCR-Mageuzi

Sunday, September 20, 2015 MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananachi (UKAWA), Freeman Mbowe amesema, wanaoleta chokochoko ndani ya umoja huo walitaka upendeleao. Kauli […]

The post VIDEO: Mh Mbowe Ajibu Malalamiko ya Viongozi wa NCCR-Mageuzi appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI NA NLD VYATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO HII LEO

Viongozi wa juu wa vyama vinne vya siasa nchini Tanzania vimeingia makubaliano ya ushirikiano wa shughuli mbalimbali za siasa hii leo na miongoni mwa mambo hayo ni kusimamisha wagombea wa pamoja katika uchaguzi wa Serikali za Mtaa na Uchaguzi Mkuu wa wabunge, madiwani, wawakilishi na Rais 2015. Kutoka kushoto ni James Mbatia wa NCCR-MAGEUZI, Prof Ibrahim Li[pumba wa chama cha Wananchi CUF, Freeman Mbowe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Dk. Emmanuel makaidi wa NLD wakionesha...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe atangaza mawaziri kivuli

>Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, ametangaza Baraza lake la mawaziri kivuli 28 na naibu mawaziri 12, na kufanya baraza lote kuwa na mawaziri 40.

 

9 years ago

Habarileo

NCCR Mageuzi yaongezewa majimbo

CHAMA cha NCCR Mageuzi kimesema katika mgawanyo wa majimbo yaliyofanywa na vyama vinavyounda umoja wa katiba (Ukawa) kimeongezewa majimbo mengine matano na hivyo kufanya chama hicho kuwa na majimbo 19 ambako watasimamisha wagombea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani