Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI NA NLD VYATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO HII LEO

Viongozi wa juu wa vyama vinne vya siasa nchini Tanzania vimeingia makubaliano ya ushirikiano wa shughuli mbalimbali za siasa hii leo na miongoni mwa mambo hayo ni kusimamisha wagombea wa pamoja katika uchaguzi wa Serikali za Mtaa na Uchaguzi Mkuu wa wabunge, madiwani, wawakilishi na Rais 2015. Kutoka kushoto ni James Mbatia wa NCCR-MAGEUZI, Prof Ibrahim Li[pumba wa chama cha Wananchi CUF, Freeman Mbowe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Dk. Emmanuel makaidi wa NLD wakionesha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI


Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Letcia Mosore (katikati)akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani)  juu  ya ukiukaji wa katiba ya chama hicho kumvua madaraka iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi NCCR-Mageuzi ,Hamlyn Erasto,Kushoto ni Kamishina Mkoa wa Ruvuma,Mchatta Mchatta.Baadhi ya waandishi wakiwa katika mkutano huo.

Na Chalila Kibuda

AALIYEKUWA  Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe kuwateua CUF, NCCR-Mageuzi, Baraza la Kivuli

Mvutano katika mchakato wa Katiba umeimarisha ushirikiano wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi na sasa kuna mpango wa kuundwa upya kwa Baraza la Mawaziri Kivuli ambalo litawajumuisha wabunge wa vyama hivyo.

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) YATIA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA (MoU)

 TDA yatia Saini makubaliano ya ushirikiano (MoU) wa masuala ya Afya ya Kinywa na Meno kwa nchi za ukanda wa mto Nile. Aswan, Egypt 27/2/2020
 Rais wa chama cha madaktari wa afya ya kinywa na meno Tanzania, Dkt. Ambege Mwakatobe akisalimiana na Prof. Mohamed Sobhy Omer, Rais wa chama cha madaktari wa meno Aswan Dental Syndicate Egypt mara baada ya hafla hiyo kumalizika Aswan, Egypt 27/2/2020. (PICHA ZOTE NA TDA)

Kushoto ni Dr. Timothy Theuri katibu mkuu chama cha madaktari wa kinywa na meno...

 

10 years ago

Mwananchi

Urais wawagonganisha NCCR-Mageuzi, Chadema

>Chama cha NCCR-Mageuzi kimeponda kauli ya Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kwamba Katibu mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani, Dk Willibrod Slaa ndiye atakayekuwa mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA CHADEMA WAJIUNGA NCCR - MAGEUZI

Mkuu wa Idara ya  Uenezi  na Mawasiliano  ya Umma wa Chama cha NCCR – Mageuzi taifa Edward Simbeye (kulia) akimkabidhi Katiba na Kadi ya NCCR - Mageuzi aliyekuwa Katibu wa Chadema ni msingi Kanda ya Serengeti na Operation Kamanda Chadema ni Msingi katika Majimbo ya Solwa,Kongwa na Temeke Bi. Eunice Kanumba.Mkuu wa Idara ya  Uenezi  na Mawasiliano  ya Umma wa Chama cha NCCR – Mageuzi taifa Edward Simbeye (kulia) akimkabidhi Charles Shigino Kadi ya NCCR - Mageuzi.Wanachama wapya wa NCCR -...

 

5 years ago

Michuzi

KADA MWINGINE CHADEMA ATIMKIA NCCR-MAGEUZI, AKERWA NA KUTOTHAMINIWA KWA MWANAMKE

Charles James, Globu ya Jamii

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezidi kukimbia na wanachama wake baada ya aliyekua kiongozi wa chama hicho kujiengua ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama cha NCCR-Mageuzi.

Ndiholeye Kifu ambaye aliwahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo Ukatibu Mwenezi na baadae Mwenyekiti wa Bawacha wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Chadema (Chaso) kutoka Chuo Kikuu cha Katoliki Mwenge mkoani Kilimanjaro amejiuzulu kwa kile alichoeleza...

 

10 years ago

Vijimambo

NCCR-MAGEUZI LEO IMEJIONDOA RASMI "UKAWA"


Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-MAGEUZI, Reticia Ghati Mosore akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari katika Hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam muda huu kuhusiana na ukiukwaji wa taratibu katika umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na kutangaza kuendelea na mapambano nje ya umoja huo wa vyama pinzani. Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI, Mosena Nyambabe akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatima yao ya kupambana kama wenyewe NCCR-MAGEUZI bila ya UKAWA na kuwa chama cha Demokrasia...

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi Chadema, CUF, NCCR watakiwa kujiuzulu

WANACHAMA wa vyama vya siasa vya upinzani kikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR-Mageuzi na Chama cha Wananchi-CUF, wametakiwa kuwashurutisha viongozi wao wa kitaifa wajiuzulu mara moja kwa kususia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani