Urais wawagonganisha NCCR-Mageuzi, Chadema
>Chama cha NCCR-Mageuzi kimeponda kauli ya Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu kwamba Katibu mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani, Dk Willibrod Slaa ndiye atakayekuwa mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Letcia Mosore (katikati)akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani) juu ya ukiukaji wa katiba ya chama hicho kumvua madaraka iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi NCCR-Mageuzi ,Hamlyn Erasto,Kushoto ni Kamishina Mkoa wa Ruvuma,Mchatta Mchatta.Baadhi ya waandishi wakiwa katika mkutano huo.
Na Chalila KibudaAALIYEKUWA Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Dk Kahangwa: Nitawania urais NCCR- Mageuzi
10 years ago
Mtanzania09 Mar
NCCR- Mageuzi kumteua Dk. Kahangwa urais 2015
NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM
UMOJA wa Vijana wa Chama cha NCCR-Mageuzi, umempitisha Dk. George Kahangwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho ambaye atachuana na wagombea wengine watakaopitishwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Uamuzi wa kumpitisha mgombea huyo umekuja baada ya Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia, kudai kuwa hatogombea tena nafasi hiyo kwa sababu anakwenda kugombea ubunge katika Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro.
Akizungumza na waandishi wa habari...
5 years ago
MichuziVIONGOZI WA CHADEMA WAJIUNGA NCCR - MAGEUZI
10 years ago
MichuziVIJANA WA NCCR-MAGEUZI WAMCHUKULIA FOMU MGOMBEA URAIS WA CHAMA HICHO,DK.MIHANGO
5 years ago
MichuziKADA MWINGINE CHADEMA ATIMKIA NCCR-MAGEUZI, AKERWA NA KUTOTHAMINIWA KWA MWANAMKE
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezidi kukimbia na wanachama wake baada ya aliyekua kiongozi wa chama hicho kujiengua ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama cha NCCR-Mageuzi.
Ndiholeye Kifu ambaye aliwahi kushika nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo Ukatibu Mwenezi na baadae Mwenyekiti wa Bawacha wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Chadema (Chaso) kutoka Chuo Kikuu cha Katoliki Mwenge mkoani Kilimanjaro amejiuzulu kwa kile alichoeleza...
10 years ago
VijimamboCHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI NA NLD VYATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO HII LEO
5 years ago
MichuziMBUNGE CHADEMA ATANGAZA KUWA KATIKA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2020 ATAGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA NCCR-MAGEUZI...
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini Anthony Komu(Chadema) amtengaza rasmi baada ya muda wake wa ubunge kumalizika kwa mujibu wa sheria basi ataachana na Chama hicho na kisha kujiunga na NCCR-Mageuzi ambacho ndicho atatumia kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2020.
Mbali na kutangaza msimamo wake wa kuondoka Chadema wakati utakapofika, komu ametumia nafasi hiyo kuelezea hatua kwa hatua mwenendo wake wa kisiasa ndani ya Chadema ambao uaonesha kwa...