NCCR-MAGEUZI LEO IMEJIONDOA RASMI "UKAWA"
![](http://1.bp.blogspot.com/-9f6uH-JcOkw/VfrJ1CAk9GI/AAAAAAAA1Ko/NW5zfv7u_GI/s72-c/NCCR.jpg)
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-MAGEUZI, Reticia Ghati Mosore akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari katika Hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam muda huu kuhusiana na ukiukwaji wa taratibu katika umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na kutangaza kuendelea na mapambano nje ya umoja huo wa vyama pinzani. Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI, Mosena Nyambabe akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatima yao ya kupambana kama wenyewe NCCR-MAGEUZI bila ya UKAWA na kuwa chama cha Demokrasia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-1yPVaq1AkWI/VhZx8FbTPaI/AAAAAAAH93w/wDv3DVxQEzk/s72-c/DSC_0332.jpg)
ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-1yPVaq1AkWI/VhZx8FbTPaI/AAAAAAAH93w/wDv3DVxQEzk/s640/DSC_0332.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-2x-cksUbxNk/VhZx9i7TlQI/AAAAAAAH934/aZSF8Rr2bTk/s640/DSC_0343.jpg)
Na Chalila KibudaAALIYEKUWA Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...
5 years ago
The Citizen Daily14 Feb
NCCR-Mageuzi's fate in Ukawa to be known next week
10 years ago
Habarileo28 Jun
Mbatia: NCCR-Mageuzi haitajiondoa Ukawa
CHAMA cha NCCR - Mageuzi kimesema hakitajitoa katika kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa vile lengo lake si mgawanyo wa madaraka bali Katiba.
9 years ago
Mtanzania01 Oct
NCCR- Mageuzi watibua njama za kuhujumu Ukawa
Na Elias Msuya, Dar es Salaam
CHAMA cha NCCR Mageuzi kimetibua njama za kuuhujumu na kuufarakanisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) zilizolenga pia kusababisha mauaji kwa Mwenyekiti wake, James Mbatia.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, James Mbatia aliyefuatana na viongozi wa juu wa chama hicho, alisema mkakati huo uliwahusisha makamishna wa chama hicho waliohudhuria pia mkutano huo, na uliratibiwa na Makamu mwenyekiti wa chama...
10 years ago
TheCitizen15 Jul
UKAWA NOMINATION: Kahangwa: The man NCCR-Mageuzi have faith in
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ZpjQeM6Fny0/default.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar01 Oct
NCCR-Mageuzi Watibua Njama za Kuhujumu UKAWA……..Wamtimua Makamu Mwenyekiti wa Chama Hicho
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia Thursday, October 1, 2015 Ikiwa zimebaki siku 23 kufikia siku ya kupiga kura nchini, mapya yameibuliwa na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, akidai kuwa zipo njama chafu […]
The post NCCR-Mageuzi Watibua Njama za Kuhujumu UKAWA……..Wamtimua Makamu Mwenyekiti wa Chama Hicho appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-HY9aVe6jJNM/VE0Us6ZWRnI/AAAAAAAAYW4/uuQWKXVRt50/s72-c/1.jpg)
CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI NA NLD VYATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO HII LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-HY9aVe6jJNM/VE0Us6ZWRnI/AAAAAAAAYW4/uuQWKXVRt50/s1600/1.jpg)
10 years ago
Mtanzania21 Feb
NCCR-Mageuzi yapuliza kipenga
Jonas Mushi na Adamu Mkwepu, Dar es Salaam
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetoa ratiba kwa wanachama wake kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Ratiba hiyo ilitangazwa jana na Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Mosena Nyambabe, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho.
Alisema wanachama wenye sifa kwa mujibu wa katiba ya NCCR- Mageuzi pamoja na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wana haki ya...