NCCR-Mageuzi yapuliza kipenga
Jonas Mushi na Adamu Mkwepu, Dar es Salaam
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetoa ratiba kwa wanachama wake kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Ratiba hiyo ilitangazwa jana na Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Mosena Nyambabe, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho.
Alisema wanachama wenye sifa kwa mujibu wa katiba ya NCCR- Mageuzi pamoja na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wana haki ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-1yPVaq1AkWI/VhZx8FbTPaI/AAAAAAAH93w/wDv3DVxQEzk/s72-c/DSC_0332.jpg)
ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-1yPVaq1AkWI/VhZx8FbTPaI/AAAAAAAH93w/wDv3DVxQEzk/s640/DSC_0332.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-2x-cksUbxNk/VhZx9i7TlQI/AAAAAAAH934/aZSF8Rr2bTk/s640/DSC_0343.jpg)
Na Chalila KibudaAALIYEKUWA Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...
9 years ago
Habarileo21 Aug
NCCR Mageuzi yaongezewa majimbo
CHAMA cha NCCR Mageuzi kimesema katika mgawanyo wa majimbo yaliyofanywa na vyama vinavyounda umoja wa katiba (Ukawa) kimeongezewa majimbo mengine matano na hivyo kufanya chama hicho kuwa na majimbo 19 ambako watasimamisha wagombea.
11 years ago
TheCitizen21 Jan
NCCR-Mageuzi gets new secretary-general
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Serikali: NCCR Mageuzi fuateni taratibu
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Makamu mwenyekiti NCCR - Mageuzi asimamishwa
5 years ago
MichuziVIONGOZI WA CHADEMA WAJIUNGA NCCR - MAGEUZI
9 years ago
Mwananchi21 Aug
Meya Bukoba aibukia NCCR — Mageuzi
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
NCCR Mageuzi itaikomboa Serengeti — Mosena
KATIBU mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi Mosena Nyambabe amejiandaa kugombea Jimbo la Serengeti katika Uchaguzi Mkuu Oktoba. Pamoja na changamoto zinazowakabili baadhi ya wabunge baada ya kupata ridhaa, Mosema amesema anakwenda Serengeti kuwa mtendaji. Fuatana na mwandishi wetu MARY VICTOR katika makala haya.
Raia Tanzania: Kabla ya kuendelea jitambulishe kwa msomaji wetu?
Mosena: Naitwa Mosena Nyambabe, ni Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi. Natangaza kuomba ridhaa ya kuwa mbunge...
11 years ago
Habarileo07 Jul
NCCR-Mageuzi yamkingia kifua Kafulila
KITENGO cha Vijana wa Chama cha NCCRMageuzi kimesema kinamuunga mkono mbunge wa Kigoma Kusini kupitia chama hicho, David Kafulila, kuhusu harakati za kutaka uchunguzi huru kuhusu suala la fedha za akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu (BoT) inayoihusu kampuni ya IPTL.