Mbowe atangaza mawaziri kivuli
>Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, ametangaza Baraza lake la mawaziri kivuli 28 na naibu mawaziri 12, na kufanya baraza lote kuwa na mawaziri 40.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 May
Mbowe kutangaza Baraza Kivuli kesho
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kesho atatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri.
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Mbowe kuwateua Cuf, NCCR Baraza Kivuli
>Mvutano katika mchakato wa Katiba umeimarisha ushirikiano wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi na sasa kuna mpango wa kuundwa upya kwa Baraza la Mawaziri Kivuli ambalo litawajumuisha wabunge wa vyama hivyo.
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Mbowe kuwateua CUF, NCCR-Mageuzi, Baraza la Kivuli
Mvutano katika mchakato wa Katiba umeimarisha ushirikiano wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi na sasa kuna mpango wa kuundwa upya kwa Baraza la Mawaziri Kivuli ambalo litawajumuisha wabunge wa vyama hivyo.
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Magufuli atangaza baraza la mawaziri
Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza baraza lake la mawaziri ambalo kwa sasa lina mawaziri 19, ingawa wizara ni 18.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-jR7nYvTvTS0/VGXJt1MzZTI/AAAAAAADM_o/79eHfU4RR4Y/s72-c/Kikwete_mbowe.jpg)
MBOWE BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE
![](http://1.bp.blogspot.com/-jR7nYvTvTS0/VGXJt1MzZTI/AAAAAAADM_o/79eHfU4RR4Y/s1600/Kikwete_mbowe.jpg)
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Buhari atangaza baraza lake la mawaziri
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari hatimaye ametangaza wizara na mawaziri watakaozisimamia, miezi saba baada yake kushinda uchaguzi wa urais.
9 years ago
CCM Blog10 Dec
RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI
Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.Mawaziri - George Simbachakene na Angella KairukiNaibu Waziri - Sumeilam Jafo. Naibu.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na MazingiraWaziri - January MakambaNaibu Waziri – Luhaga Jerrson MpinaOfisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na WalemavuWaziri - Jenista MuhagamaMaNaibu – Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde.Wizara ya Kilimo, Mifugo na UvuviWaziri - Mwigulu NchembaNaibu Waziri - William Ole NashaWizara...
11 years ago
Habarileo03 May
Mbowe kupangua 'mawaziri’ bungeni
KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema anatarajia kuvunja na kuunda upya Baraza la Mawaziri Vivuli, litakaloshirikisha viongozi wengine wa vyama vya upinzani, wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Mbowe amtaka Kikwete avunje Baraza la Mawaziri
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemtaka Rais Jakaya Kikwete kulivunja Baraza la Mawaziri na kuunda jipya kutokana na tuhuma za ufisadi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania