Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBOWE BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE

Kigoma. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemtaka Rais Jakaya Kikwete kulivunja Baraza la Mawaziri na kuunda jipya kutokana na tuhuma za ufisadi.Katika taarifa yake aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari baada ya mikutano yake katika mikoa ya Magharibi alisema ni lazima hatua hiyo kuchukuliwa ili kukabiliana na mafisadi ambao hakuwataja, vinginevyo alisema Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni anayoiongoza, itaanza maandalizi ya kuwasilisha bungeni, hoja ya kutokuwa na imani naye.Alisema...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbowe amtaka Kikwete avunje Baraza la Mawaziri

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemtaka Rais Jakaya Kikwete kulivunja Baraza la Mawaziri na kuunda jipya kutokana na tuhuma za ufisadi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe atangaza mawaziri kivuli

>Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, ametangaza Baraza lake la mawaziri kivuli 28 na naibu mawaziri 12, na kufanya baraza lote kuwa na mawaziri 40.

 

11 years ago

Habarileo

Mbowe kupangua 'mawaziri’ bungeni

KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema anatarajia kuvunja na kuunda upya Baraza la Mawaziri Vivuli, litakaloshirikisha viongozi wengine wa vyama vya upinzani, wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe kutangaza Baraza Kivuli kesho

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kesho atatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri.

 

9 years ago

GPL

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

TAIFA liko katika mkao wa kusubiri kuapishwa kwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye Alhamisi iliyopita alitangazwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha urais dhidi ya wenzake saba lakini tayari Wabongo wanaumiza vichwa kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri la Magufuli. Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli.  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (Nec), ilimtangaza Dk. Magufuli kuwa mshindi mbele...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe kuwateua Cuf, NCCR Baraza Kivuli

>Mvutano katika mchakato wa Katiba umeimarisha ushirikiano wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi na sasa kuna mpango wa kuundwa upya kwa Baraza la Mawaziri Kivuli ambalo litawajumuisha wabunge wa vyama hivyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Sura mpya Baraza la Mawaziri

Baada ya kuapishwa kushika madaraka ya Rais, kibarua kizito cha Dk John Magufuli ni kuunda Baraza la Mawaziri litakaloendana na kasi ya kaulimbiu yake ya ‘Hapa kazi tu’, ambalo ni wazi litajaa sura nyingi mpya.

 

9 years ago

Mtanzania

Baraza jipya la mawaziri laiva

pombeNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Dk. John Magufuli, wakati wowote anatarajiwa kutangaza Baraza la Mawaziri baada ya kukamilisha wiki kadhaa za kuchuja majina ya wanaofaa kuwa mawaziri.

Hatua hiyo inakuja baada ya jana kukutana faragha kwa saa moja na Waziri Mkuu wake Kassim Majaliwa katika kikao kilichofanyika ofisini kwa waziri huyo.

Katika kile kinachoonekana ni tofauti na marais waliopita, ambao wengi wao walikuwa wakifuatwa ofisini, hali imekuwa tofauti kwa Dk. Magufuli ambaye...

 

11 years ago

BBCSwahili

Baraza la mawaziri labadilishwa Tanzania

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri kujaza nafasi tano zilizokuwa wazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani