Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sura mpya Baraza la Mawaziri

Baada ya kuapishwa kushika madaraka ya Rais, kibarua kizito cha Dk John Magufuli ni kuunda Baraza la Mawaziri litakaloendana na kasi ya kaulimbiu yake ya ‘Hapa kazi tu’, ambalo ni wazi litajaa sura nyingi mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Sura mpya kumi Baraza la Mawaziri

RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kujaza nafasi za mawaziri watano walioacha nafasi zao wazi, kutokana na sababu mbalimbali. Katika uteuzi huo, Rais Kikwete ameteua mawaziri wapya wawili na Naibu mawaziri wapya wanane, huku akiwapandisha vyeo naibu mawaziri wanne kuwa mawaziri kamili.

 

9 years ago

Raia Mwema

Mawaziri wapya sura mpya kibao

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mwananchi

Sura mpya 17 ndani baraza la JPM

Miongoni mwa mawaziri na manaibu waziri walioteuliwa kwenye baraza jipya la  Rais John Magufuli, zimo sura mpya 17 ambazo zimeteuliwa kwa mara ya kwanza.

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu Shoo: Tunatarajia baraza lenye sura mpya

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo amesema Watanzania wanatarajia kuona sura mpya katika baraza la mawaziri lijalo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza la Mawaziri ni sheikh yule yule katika kanzu mpya!

WASWAHILI watakuambia ni sheikh yule yule ndani ya kanzu mpya. Wazungu watakuambia ni mvinyo ule ule kwenye chupa mpya. Naam, hilo ndilo Baraza la Mawaziri lililorekebishwa. Watu walikuwa macho wazi...

 

10 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

9 years ago

GPL

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

TAIFA liko katika mkao wa kusubiri kuapishwa kwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye Alhamisi iliyopita alitangazwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha urais dhidi ya wenzake saba lakini tayari Wabongo wanaumiza vichwa kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri la Magufuli. Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli.  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (Nec), ilimtangaza Dk. Magufuli kuwa mshindi mbele...

 

11 years ago

Michuzi

sura mpya ya dar

 Hakika baada ya muda si mrefu ujao jiji la Dar es salaam litakuwa na sura mpya kabisa kutokana na ujenzi unaoendelea wa barabara mpya ya mabasi yaendayo haraka. Hapa ni Magomeni mapipa kwa Mcheni ambako kila upande panajengwa kingo za ukuta mkubwa utaosaidia kuzuia mmomonyoko  Kwa Macheni siku hizi hapapo tena... Ukuta wa Berlin?

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli akamilisha Baraza la Mawaziri

Rais John Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa mawaziri na naibu waziri alizobakiza wakati akitangaza Baraza la Mawaziri la kwanza la Serikali ya Awamu ya Tano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani