Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la mawaziri labadilishwa Tanzania

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri kujaza nafasi tano zilizokuwa wazi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Baraza la Mawaziri Kenya, labadilishwa

Rais wa Kenya amefanya mabadiliko katika Baraza lake la Mawaziri, na kuwaacha wote wizara zao zilizotajwa katika ufisadi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Baraza la mawaziri lazua hisia Tanzania

Siku mbili baada ya rais wa Tanzania kufanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri,kumekuwepo hisia tofauti

 

10 years ago

GPL

TANZANIA YACHUKUA RASMI UENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri Samuel Sitta akizungumza baada ya kupokea uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo akisoma taarifa ya Kamati ya Makatibu Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Baraza la Mawaziri. Wengine kulia kwake ni Katibu…

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yachukua Rasimi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika mashariki

Tanzania leo imekabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki baada ya Kenya kumaliza muda wake wa kipindi cha mwaka mmoja. Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta na Katibu Mkuu Bi. Joyce Mapunjo walipokea Uenyekiti huo katika Mkutano wa Baraza wa Mawaziri uliofanyika leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta (KICC), Jijini Nairobi, Kenya.  Rais wa Tanzania anatarajiwa kupokea Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki siku ya...

 

9 years ago

GPL

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

TAIFA liko katika mkao wa kusubiri kuapishwa kwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye Alhamisi iliyopita alitangazwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha urais dhidi ya wenzake saba lakini tayari Wabongo wanaumiza vichwa kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri la Magufuli. Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli.  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (Nec), ilimtangaza Dk. Magufuli kuwa mshindi mbele...

 

9 years ago

Mtanzania

Baraza jipya la mawaziri laiva

pombeNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Dk. John Magufuli, wakati wowote anatarajiwa kutangaza Baraza la Mawaziri baada ya kukamilisha wiki kadhaa za kuchuja majina ya wanaofaa kuwa mawaziri.

Hatua hiyo inakuja baada ya jana kukutana faragha kwa saa moja na Waziri Mkuu wake Kassim Majaliwa katika kikao kilichofanyika ofisini kwa waziri huyo.

Katika kile kinachoonekana ni tofauti na marais waliopita, ambao wengi wao walikuwa wakifuatwa ofisini, hali imekuwa tofauti kwa Dk. Magufuli ambaye...

 

5 years ago

Habarileo

Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri

Rais John Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri.

 

11 years ago

Mtanzania

Kagame avunja Baraza la Mawaziri

Paul Kagame

Rais wa Rwanda, Paul Kagame

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amevunja baraza lake la mawaziri kwa kumuondoa aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Dk. Pierre Damien Habumuremyi na kumteua aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa Umma wa nchi hiyo, Anastase Murekezi, kuchukua wadhifa huo.

Dk. Habumuremyi alikuwa Waziri Mkuu wa Ruwanda tangu Oktoba 7, mwaka 2011.

Murekezi amekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo tangu kumalizika vita vya mauaji ya kimbari mwaka 1994.

Waziri Mkuu wa kwanza alikuwa Faustin...

 

11 years ago

Mwananchi

Hali tete baraza la mawaziri

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete, imeanza kuwahoji mawaziri waliotajwa ni ‘mzigo’ kwa Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani