Tanzania yachukua Rasimi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika mashariki
Tanzania leo imekabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki baada ya Kenya kumaliza muda wake wa kipindi cha mwaka mmoja. Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta na Katibu Mkuu Bi. Joyce Mapunjo walipokea Uenyekiti huo katika Mkutano wa Baraza wa Mawaziri uliofanyika leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta (KICC), Jijini Nairobi, Kenya. Rais wa Tanzania anatarajiwa kupokea Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki siku ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTANZANIA YACHUKUA RASMI UENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
10 years ago
MichuziTanzania Kuchukua Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utafanyika Tarehe 30 Novemba, 2014 Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa Mkakaba Mkutano huu utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Tarehe 20 – 27 Novemba, 2014 katika ngazi ya Wataalam, Makatibu Wakuu na Mawaziri. Aidha, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa...
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Mkutano wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Biashara kutoka Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Abdulla Makame Akiwaeleza waandishi wa Habari(hawapo pichani) Kuhusu Mkutano wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Septemba 20 mwaka huu Jijini Arusha. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara hiyo Anthony Ishengoma.(Picha na Hassan Silayo).
Frank Mvungi- Maelezo
Mkutano wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya...
10 years ago
VijimamboWAZIRI MEMBE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
5 years ago
MichuziMKUTANO MAALUM WA 41 WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI TAREHE 4 – 5 JUNI, 2020
Mkutano Maalum wa 41 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki utafanyika tarehe 4 na 5 Juni 2020 kwa njia ya mtandao (Video Conference). Mkutano utafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara uliopo Mji wa Serikali, Mtumba – Dodoma.
Mkutano huo Maalum wa 41 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki, utaanza kwa mkutano wa ngazi ya wataalam tarehe 4 Juni, 2020 na kufuatiwa na mkutano wa ngazi ya Makatibu Wakuu tarehe 5 Juni 2020 na kisha kufuatiwa na mkutano wa Baraza...
11 years ago
MichuziMKUTANO WA DHARULA WA 29 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAENDELEA LEO JIJINI ARUSHA
11 years ago
MichuziMkutano wa tisa wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamalizika katika ngazi ya wataalamu mjini Zanzibar
10 years ago
MichuziJK akabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika mashariki
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Rais Kikwete akabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Tanzania inaunga mkono kwa dhati Ushirikiano wa Kikanda na muumini mkubwa wa Umoja wa Africa na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo jijini Nairobi mara baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa EAC na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye amekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
“Tunaamini kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyogawanyika, haitaweza kuchukua nafasi yake kamili na heshima katika familia ya Mataifa...