Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Watanzania hawana uelewa wa mirathi’

Malalamiko na maswali kuhusu mirathi na talaka jana yalitawala katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria, yaliyohitimishwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

TACAIDS: Watanzania bado hawana uelewa wa ugonjwa wa Ukimwi

Mwenyekiti Mtendaji wa Tume hiyo, Dk Fatma MrishoTUME ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imesema kuongezeka kwa matumizi ya tiba mbadala katika ugonjwa wa Ukimwi kunatokana na zaidi ya asilimia 50 ya watanzania licha ya kusikia kuhusu ugonjwa huo, bado hawana uelewa wake.

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania wengi hawana uelewa kuhusu tatizo la usonji - Mama Salma Kikwete

Na Anna Nkinda – Maelezo
Watanzania wengi hawana uelewa  wa tatizo la usonji (Autism)  kwa watoto hivyo basi uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika  ili watu watambue  tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma kikwete wakati akiongea na Prof. Andy Shih ambaye ni Makamu wa Rais Mwandamizi wa Mambo ya kisayansi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Autism Speaks katika ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) zilizopo jijini Dar es...

 

11 years ago

Habarileo

‘Wahitimu wengi hawana uelewa’

BAADHI ya wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini, wameelezwa licha ya kumaliza vyuo na kupata vyeti kwa ngazi mbalimbali bado hawana uelewa wa kutosha kwa mambo wanayosomea.

 

10 years ago

Habarileo

‘Wengi hawana uelewa wa Katiba’

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kimebaini Watanzania wengi hasa walio mikoa ya pembezoni, kutokuelewa kuhusu mchakato wa Katiba mpya unaoendelea.

 

10 years ago

Habarileo

‘Watu wengi hawana uelewa wa usonji’

Mama Salma Kikwete.WATANZANIA wengi hawana uelewa wa tatizo la usonji (autism) kwa watoto, hivyo uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika ili watu watambue tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania wana uelewa, imani na EAC

WATANZANIA wengi wametajwa kuwa wanafahamu, kuelewa, na wana maoni chanya kuhusu Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

 

10 years ago

Michuzi

KAMA HAMUELEWANI JUU YA MSIMAMIZI MIRATHI INARUHUSIWA NYOTE KUOMBA KUSIMAMIA MIRATHI

Na  Bashir  Yakub.
Mara  kadhaa kwenye  familia  mbalimbali   kumekuwa hakuna  maelewano  juu  ya  nani  asimamie  mirathi. Unakuta  wapo  wanaomkubali  fulani  asimamie  na  wapo  wanomkataa  wakimtaka   fulani  mwingine  ndiye  asimamie.  Hii   huwa  na  athari  kubwa sana  kwa  warithi  hasa  watoto  kama  wanasoma  ambao  kimsingi  hutakiwa kutumia mali  zile katika  mahitaji  ya  msingi  kama  ada  na  mahitaji  mengine muhimu ya  kiustawi. 
Tumeshashuhudia  mara  nyingi  watoto  wakiacha...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini Watanzania hawana imani na waganga wa jadi?

Kila baada ya hatua chache katika majiji makubwa kama Mwanza, Arusha, Dar es Salaam, Mbeya na Tanga, si ajabu kukutana na mabango ya biashara ya kutibu nguvu za kiume, kukuza sehemu za uume, kuongeza makalio, akili za darasani, nyota ya maisha na magonjwa ya zinaa.

 

9 years ago

GPL

MIRATHI NUSURA IMTOE ROHO!

Masanga Said Bori, anayevuja damu. Boniphace Ngumije na Mayasa Mariwata BALAA! Mkazi wa Mtaa wa Manyoni, Ilala jijini Dar aliyejulikana kwa jina la Masanga Said Bori (pichani), Jumamosi iliyopita nusura atolewe uhai akitetea mirathi ya nyumba iliyoachwa na shangazi yake, Mwanafatima binti Mchinga akiwa na ndugu zake, Panya Bori, Mchinga Bori, Mwanafatima Bori na Zaujiha Bori. Kwa mujibu wa chanzo, nyumba hiyo namba 27/1 yenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani