TACAIDS: Watanzania bado hawana uelewa wa ugonjwa wa Ukimwi
TUME ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imesema kuongezeka kwa matumizi ya tiba mbadala katika ugonjwa wa Ukimwi kunatokana na zaidi ya asilimia 50 ya watanzania licha ya kusikia kuhusu ugonjwa huo, bado hawana uelewa wake.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Feb
‘Watanzania hawana uelewa wa mirathi’
10 years ago
MichuziWatanzania wengi hawana uelewa kuhusu tatizo la usonji - Mama Salma Kikwete
Watanzania wengi hawana uelewa wa tatizo la usonji (Autism) kwa watoto hivyo basi uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika ili watu watambue tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma kikwete wakati akiongea na Prof. Andy Shih ambaye ni Makamu wa Rais Mwandamizi wa Mambo ya kisayansi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Autism Speaks katika ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) zilizopo jijini Dar es...
10 years ago
Habarileo24 Sep
‘Wengi hawana uelewa wa Katiba’
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kimebaini Watanzania wengi hasa walio mikoa ya pembezoni, kutokuelewa kuhusu mchakato wa Katiba mpya unaoendelea.
11 years ago
Habarileo25 Mar
‘Wahitimu wengi hawana uelewa’
BAADHI ya wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini, wameelezwa licha ya kumaliza vyuo na kupata vyeti kwa ngazi mbalimbali bado hawana uelewa wa kutosha kwa mambo wanayosomea.
10 years ago
Habarileo19 Dec
‘Watu wengi hawana uelewa wa usonji’
WATANZANIA wengi hawana uelewa wa tatizo la usonji (autism) kwa watoto, hivyo uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika ili watu watambue tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
TACAIDS yakiri kupungua kwa maambukizi ya UKIMWI nchini
Afisa Mawasiliano Kutoka TACAIDS Bw. Godlease Malisa akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika banda la TACAIDS kwenye viwanja vya Sabasaba jana Jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania Dr. Jerome Kamwela.
Na: Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikali – WHVUM
Tafiti zilizofanywa na Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania zinaonyesha kuwa maambukizi mapya ya...
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Tacaids: Maadhimisho ya Ukimwi kuhakikisha azma ya sifuri tatu inafikiwa
TUME ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), imesema kauli mbiu ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani mwaka huu imelenga kutoa msukumo wa utekelezaji wa mikakati ya kudhibiti Ukimwi. Akizungumza jana jijini...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-U0pnJcPNnx8/U7-qpR4QSwI/AAAAAAAF05g/Sy7qpoGYYeo/s72-c/2.jpg)
TACAIDS yathibitisha upatikanaji wa dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (RAVs) nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-U0pnJcPNnx8/U7-qpR4QSwI/AAAAAAAF05g/Sy7qpoGYYeo/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5Bh0tOSEc8w/U7-qpzLYK5I/AAAAAAAF05k/LnjzK3PDoFw/s1600/3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--JZvae5YtVw/U7-qprNzJ7I/AAAAAAAF058/GQlofUqGL8M/s1600/1.jpg)
9 years ago
Bongo501 Dec
TACAIDS yadai mastaa wapo kwenye hatari zaidi ya kuathirika na virusi vya Ukimwi (Video)
![Mwenyekiti wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dr. Fatma Mrisho](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mwenyekiti-wa-Tume-ya-Kudhibiti-Ukimwi-TACAIDS-Dr.-Fatma-Mrisho-300x194.jpg)
Wakati dunia leo inaadhimisha siku ya Ukimwi duniani, December 1, Tume ya Kudhibiti Ukimwi nchini, (TACAIDS) imesema watu maarufu wakiwemo wasanii ni watu walio kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata maambukizi ya virusi vya Ukimwi kutokana na ushawishi wao na hivyo wanatakiwa kupewa elimu.
Mwenyekiti wa TACAIDS, Dr. Fatma Mrisho
Akizungumza na taasisi ya Global Shapers Community Dar es Salaam, Mwenyekiti TACAIDS, Dr. Fatma Mrisho, alisema ushawishi wa wasanii hao unawafanya watamaniwe na watu...