Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TACAIDS yadai mastaa wapo kwenye hatari zaidi ya kuathirika na virusi vya Ukimwi (Video)

Mwenyekiti wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dr. Fatma Mrisho

Wakati dunia leo inaadhimisha siku ya Ukimwi duniani, December 1, Tume ya Kudhibiti Ukimwi nchini, (TACAIDS) imesema watu maarufu wakiwemo wasanii ni watu walio kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata maambukizi ya virusi vya Ukimwi kutokana na ushawishi wao na hivyo wanatakiwa kupewa elimu.

Mwenyekiti wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dr. Fatma Mrisho
Mwenyekiti wa TACAIDS, Dr. Fatma Mrisho

Akizungumza na taasisi ya Global Shapers Community Dar es Salaam, Mwenyekiti TACAIDS, Dr. Fatma Mrisho, alisema ushawishi wa wasanii hao unawafanya watamaniwe na watu...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JUMLA YA WASICHANA 6,000 MKOANI MTWARA WAPO KATIKA NAFASI NZURI YA KUJIKINGA NA MIMBA NA VIRUSI VYA UKIMWI

Jumla ya wasichana 6,000 mkoani Mtwara walio kwenye umri wa balehe sasa wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga na mimba za umri mdogo zinazowasababishia kuacha shule pamoja na kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.    
Akiongea na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Meneja uhusiano na mawasiliano wa T-MARC Tanzania Maurice Chirimi alisema mafanikio hayo yametokana na mradi unaojulikiana kama ‘Hakuna Wasichoweza’ unaotekelezwa na T-MARC kwa ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jumla ya wasichana 6,000 Mkoani Mtwara wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga na mimba pamoja na virusi vya Ukimwi

001.Tanzania

Na Mwandsihi Wetu

Zaidi ya jumla ya wasichana 5,784 mkoani Mtwara walio kwenye umri wa balehe sasa wapo katika nafasi nzuri ya kujikinga na mimba za umri mdogo zinazowasababishia kuacha shule pamoja na kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi                     

Akiongea na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Meneja uhusiano na mawasiliano wa T-MARC Tanzania Maurice Chirimi alisema mafanikio hayo yametokana na mradi unaojulikiana kama ‘Hakuna Wasichoweza’ unaotekelezwa na T-MARC kwa...

 

10 years ago

GPL

JUMLA YA WASICHANA 6,000 MKOANI MTWARA WAPO KATIKA NAFASI NZURI YA KUJIKINGA NA MIMBA NA VIRUSI VYA UKIMWI‏

Baadhi ya wanafunzi wa kike wakipata semina kutoka  T-MARC kwa ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID). Wanafunzi wa kike wakiwa wenye furaha baada ya semina T-MARC kwa ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID).…

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake

Wanaume wengi wamekutwa na ugonjwa huo zaidi na wanaonekana kupatwa na maafa mabaya.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wimbi la pili la maambukizi Marekani 'huenda likawa hatari zaidi'

Maafisa wa afya wa ngazi ya juu wa nchini Marekani wameonya wimbi jipya la maambukizi ya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je miale ya jua inauwa virusi hivi hatari?

Shirika la Afya Duniani WHO linasema kwamba kukaa juani ama katika sehemu zenye joto jingi la zaidi ya nyuzi 25 hakuzuii kupata maambukizi ya virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je wanyama wanaofugwa wana hatari ya kusambaza virusi?

Virusi vya corona : Ni kweli wanyama wanaofugwa wana hatari ya kusambaza virusi?

 

5 years ago

CCM Blog

WATU 27 WALIOCHUKULIWA SAMPULI VIRUSI VYA CORONA WAPO SALAMA

Watu 27 waliochukuliwa sampuli ya vipimo vya Corona Tanzania, wako salama
Watu 27 ambao waliliochukuliwa sampuli za vipimo vyao vya afya ili kuwachunguza iwapo wameambukizwa virusi vya Corona Covid-19, wapo salama.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha ufuatiliaji wa magonjwa ya mlipuko katika Wizara ya Afya, Dk Janeth Mghamba akiwa na mtaalam wa majanga wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk Faraja Msemwa. Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Arusha, maafisa hao wa Wizara ya Afya nchini Tanzania, wamesema watu hao 27 walichukuliwa sampuli baada...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani