Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wengi hawana uelewa kuhusu tatizo la usonji - Mama Salma Kikwete

Na Anna Nkinda – Maelezo
Watanzania wengi hawana uelewa  wa tatizo la usonji (Autism)  kwa watoto hivyo basi uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika  ili watu watambue  tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma kikwete wakati akiongea na Prof. Andy Shih ambaye ni Makamu wa Rais Mwandamizi wa Mambo ya kisayansi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Autism Speaks katika ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) zilizopo jijini Dar es...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Watu wengi hawana uelewa wa usonji’

Mama Salma Kikwete.WATANZANIA wengi hawana uelewa wa tatizo la usonji (autism) kwa watoto, hivyo uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika ili watu watambue tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA UELEWA KUHUSU TATIZO LA USONJI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Kampenii dhidi ya ugonjwa wa usonji yazinduliwa • 
Familia nyingi Tanzania hazina ufahamu wa hali hii
Kliniki ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zimeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha uma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao watanzania wengi hawaufahamu.Ugomjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani dalili zake huanza utotoni na zinaweza kuendelea hadi ukubwani.Akizugumza wakati wa uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MSIMBAZI MSETO KWENYE KITUO CHA WATOTO WENYE USONJI (AUTISM).

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha na watoto Abdallah Athuman (kulia) na Nasma Jumanne (kushoto) wenye matatizo ya usonji  (autism) wakati alipotembelea kwenye Shule ya Msingi Msimbazi Mseto   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika kuimba na kucheza na watoto wenye matatizo ya usonji (autism),wazazi na walimu wakati alipotembelea  Shule ya Msingi Msimbazi Mseto   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika kuimba na kucheza na watoto wenye matatizo ya usonji...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wengi hawana uelewa wa Katiba’

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kimebaini Watanzania wengi hasa walio mikoa ya pembezoni, kutokuelewa kuhusu mchakato wa Katiba mpya unaoendelea.

 

11 years ago

Habarileo

‘Wahitimu wengi hawana uelewa’

BAADHI ya wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini, wameelezwa licha ya kumaliza vyuo na kupata vyeti kwa ngazi mbalimbali bado hawana uelewa wa kutosha kwa mambo wanayosomea.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Watanzania hawana uelewa wa mirathi’

Malalamiko na maswali kuhusu mirathi na talaka jana yalitawala katika Maonyesho ya Wiki ya Sheria, yaliyohitimishwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.

 

10 years ago

Habarileo

TACAIDS: Watanzania bado hawana uelewa wa ugonjwa wa Ukimwi

Mwenyekiti Mtendaji wa Tume hiyo, Dk Fatma MrishoTUME ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imesema kuongezeka kwa matumizi ya tiba mbadala katika ugonjwa wa Ukimwi kunatokana na zaidi ya asilimia 50 ya watanzania licha ya kusikia kuhusu ugonjwa huo, bado hawana uelewa wake.

 

11 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA WANAWAKE WATANZANIA WAJASIRIAMALI WA DMV JIJINI WASHINGTON

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa Ndugu Juster Mutakyawa mara baada ya kuwasili kwenye ofisi ya ubalozi wa Tanzania nchini Marekani iliyoko Washington  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wajasiriamali cha Watanzania wanaoishi Washington kiitwacho TANO Ladies Ndugu Asha Hariz wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani