Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPENI YA UELEWA KUHUSU TATIZO LA USONJI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Kampenii dhidi ya ugonjwa wa usonji yazinduliwa • 
Familia nyingi Tanzania hazina ufahamu wa hali hii
Kliniki ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zimeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha uma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao watanzania wengi hawaufahamu.Ugomjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani dalili zake huanza utotoni na zinaweza kuendelea hadi ukubwani.Akizugumza wakati wa uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watanzania wengi hawana uelewa kuhusu tatizo la usonji - Mama Salma Kikwete

Na Anna Nkinda – Maelezo
Watanzania wengi hawana uelewa  wa tatizo la usonji (Autism)  kwa watoto hivyo basi uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika  ili watu watambue  tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma kikwete wakati akiongea na Prof. Andy Shih ambaye ni Makamu wa Rais Mwandamizi wa Mambo ya kisayansi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Autism Speaks katika ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) zilizopo jijini Dar es...

 

10 years ago

Habarileo

Kampeni ya ugonjwa wa usonji yazinduliwa

KLINIKI ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) zimeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha umma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao watanzania wengi hawaufahamu.

 

10 years ago

Mtanzania

Kampeni dhidi ya ugonjwa wa usonji yazinduliwa

????????Na Veronica Rwamwald, Dar es Salaam

KLINIKI ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili, imeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha umma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao Watanzania wengi hawaufahamu.

 

Ugonjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani dalili zake huanza utotoni na zinaweza kuendelea hadi ukubwani.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia watu wenye usonji Tanzania, Dk. Stella Rwezaula,

aliishukuru...

 

11 years ago

GPL

KAMPENI YA KUPAMBANA NA HOMA YA INI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mganga Mkuu Hospitali ya Amana, Dk. Meshack Shimwela, akielezea madhara ya ugonjwa wa Homa ya Ini. Shigongo akiwaomba wadau mbalimbali kupambana dhidi ya ugonjwa wa Homa ya Ini.…

 

10 years ago

Habarileo

‘Watu wengi hawana uelewa wa usonji’

Mama Salma Kikwete.WATANZANIA wengi hawana uelewa wa tatizo la usonji (autism) kwa watoto, hivyo uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika ili watu watambue tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.

 

11 years ago

Michuzi

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI-KAMPENI GOGOTA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Dk.Helen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu awamu ya pili ya kampeni ya kusambaza uelewa wa rasimu ya pili (Kampeni Gogota). Kulia ni Mratibu wa Dawati la Katiba wa kituo hicho, Anna Henga na Mwanasheria wa Kituo hicho, Harold Sungusia.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Picha/Habari na Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...

 

5 years ago

Michuzi

Kampeni ya Bukua na Ushinde’ya kampuni ya ZOLA yazinduliwa Dar Es Salaam

Kunufaisha wanafunzi wakaofanya vizuri katika mitihani yao ya taifa

Kampeni ya kampuni ya ZOLA Electric Tanzania, ambayo zamani ilijulikana kama Mpower, inayolenga kuhamasihisha wanafunzi wa sekondari kusoma kwa bidii ijulikanayo kama ‘Bukua na Ushinde’ imezinduliwa wilayani Ilala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kupitia kampeni hii ambayo pia imelengakusaidia jamii na kuunga mkono jitihada za serikali kuboresha sekta ya elimu, ambapo itazawadia vifaa vya nishati ya umeme wa jua...

 

11 years ago

Michuzi

Wastaafu Loan Yazinduliwa jijini Dar

Katibu Mkuu Kionmgozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (Wapili kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayigu(Wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, (TPB), Sabasaba Moshingi), Wakwanza kulia) na Mstaafu Eunice Temu, wakiwa wamenyanyua juu mikono kuashiria uzinduzi wa mpango wa mfuko huo kuwakopesha wastaafu amabao ni wanachama wake kupitia benki ya Posta "Wastaafu Loan",. Hafla ya uzinduzi huo ulifantyika jijini Dar es Salaam jana. Katibu Mkuu Kiongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani