Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni ya Bukua na Ushinde’ya kampuni ya ZOLA yazinduliwa Dar Es Salaam

Kunufaisha wanafunzi wakaofanya vizuri katika mitihani yao ya taifa

Kampeni ya kampuni ya ZOLA Electric Tanzania, ambayo zamani ilijulikana kama Mpower, inayolenga kuhamasihisha wanafunzi wa sekondari kusoma kwa bidii ijulikanayo kama ‘Bukua na Ushinde’ imezinduliwa wilayani Ilala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kupitia kampeni hii ambayo pia imelengakusaidia jamii na kuunga mkono jitihada za serikali kuboresha sekta ya elimu, ambapo itazawadia vifaa vya nishati ya umeme wa jua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Kampuni ya Zola yaahidi kutoa mitambo kwa wanafunzi

KAMPUNI ya kuzalisha bidhaa za umeme wa jua Zola imeahidi  kuwazawadia mitambo ya Zola  wanafunzi wa kidato cha nne watakaofaulu vizuri mwaka huu ili iwe chachu kwao ya kujisomea zaidi.
Ahadi hiyo ilitolewa jana Jijini Arushawakati wa uzinduzi wa ofisi ya Zola mkoani Arusha,Mkurugenzi wa Kampuni ya Zola Afrika Mashariki Yusuph Nassor alisema serikali ya sasa imejilota mumsaidia mtoto kielimu kwa kutoa elimu bure, hivyo na wao wanaunga mkono jitihada hizo.
Licha ya kusaidia sekta ya elimu...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI MPYA YA SIMU YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Ofisa Biashara wa Manispaa ya Kinondoni, Ananias Kamundu (wa tatu kushoto), akipata maelezo kuhusu bidhaa za kampuni mpya ya simu za mkononi ya Halotel katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi  Mtendaji wa Kampuni ya Viettel Tanzania wamiliki wa Halotel,  Nguyen Thanh Quang na wageni wengine waalikwa. Ofisa Biashara wa Manispaa ya Kinondoni, Ananias Kamundu (kushoto), na Mkurugenzi  wa kampuni mpya ya simu za mkononi wa Halotel  Mkoa wa...

 

11 years ago

GPL

KAMPENI YA KUPAMBANA NA HOMA YA INI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mganga Mkuu Hospitali ya Amana, Dk. Meshack Shimwela, akielezea madhara ya ugonjwa wa Homa ya Ini. Shigongo akiwaomba wadau mbalimbali kupambana dhidi ya ugonjwa wa Homa ya Ini.…

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA UELEWA KUHUSU TATIZO LA USONJI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Kampenii dhidi ya ugonjwa wa usonji yazinduliwa • 
Familia nyingi Tanzania hazina ufahamu wa hali hii
Kliniki ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zimeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha uma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao watanzania wengi hawaufahamu.Ugomjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani dalili zake huanza utotoni na zinaweza kuendelea hadi ukubwani.Akizugumza wakati wa uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI MPYA YA MTANDAO WA SIMU ZA MIKONINI SMART TELECOM YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Viongozi wakuu wa kampuni ya Smart Telecom,Afrika Masharikii wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi waliojipatia zawadi kupitia mtandao huo,baada ya kushiriki kwenye kampeni ya GIVE US A NAME iliofanyika hivi karibuni.  Pichani kati ni Balozi wa Kampuni hiyo ya simu iliyozinduliwa leo jijini Dar,Msanii wa maigizo ya vichekesho atambulikae kwa jina la Hemed Maliyaga a.k.a Mkwere Orijini akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Smart Telecom,Afrika Mashariki,Abdullatif Bouziani (shoto)...

 

10 years ago

Habarileo

Treni ya kisasa yazinduliwa Dar es Salaam

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza akipeperusha bendera kuashiria kuanza kwa safari za treni ya kisasa katika Kituo cha Reli Dar es Salaam jana huku Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa nchi za Afrika Mashariki wakishuhudia. (Na Mpigapicha Wetu).TRENI nne za kisasa za mizigo mali ya Shirika la Reli nchini (TRL) zinazokwenda nchi nne za Ukanda wa Kati zimezinduliwa jana jioni Dar es Salaam kwenda kwenye nchi hizo, tukio lililoshuhudiwa na marais na wawakilishi wa nchi husika.

 

10 years ago

Dewji Blog

Paisha yazinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam

Mgeni rasmi ambae pia ni rais wa Makampuni ya Convivium Africa Investment, Ndg Alfonso ippolito akizungumza machache wakati wa uzinduzi wa platform mpya ya matangazo iliyozinduliwa hapo jana katika hoteli ya Serena.Paisha ni platform ya matangazo ambayo inapatikana kupitia simu za mkononi yaani smartphone na kupitia tovuti ambapo watumiaji wa simu za smartphone wanaweza kuipakua kupitia google play and playstore bure kabisa.

Meneja bidhaa wa Paisha, Godfrey Fataki akizungumzia jinsi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani